< Return to Video

JE, NDOTO INAWEZA KUPELEKEA TALAKA? TAZAMA KWA ISHARA NAMNA HII...

  • 0:00 - 0:02
    Moto, katika jina kuu la Yesu Kristo!
  • 0:02 - 0:03
    Katika jina kuu la Yesu Kristo!
  • 0:04 - 0:07
    Ulikuwa unaona mtu katika ndoto yako, mwanamume.
  • 0:07 - 0:07
    Ndiyo.
  • 0:08 - 0:11
    Huyo mwanaume anataka kulala na wewe.
  • 0:11 - 0:12
    Ndiyo, ni kweli.
  • 0:12 - 0:15
    Ninapolala, mtu anakuja kulala nami.
  • 0:15 - 0:18
    Hii ilisababisha matatizo ya ndoa.
  • 0:18 - 0:18
    Ndiyo.
  • 0:19 - 0:19
    Je, unaelewa?
  • 0:19 - 0:22
    Maisha yangu ya ndoa yaliharibiwa, nilitalikiana mara mbili.
  • 0:23 - 0:25
    Omba kwa bidii, "Ee, Mungu, niokoe leo!"
  • 0:25 - 0:27
    Jina langu ni Guigui Clarisse.
  • 0:28 - 0:29
    Ninatoka Sweden.
  • 0:29 - 0:32
    Mtu huyo anakusumbua.
  • 0:33 - 0:33
    Ndiyo
  • 0:33 - 0:38
    Anakusumbua, anakuja kwako, anataka kulala na wewe.
  • 0:38 - 0:39
    Ndiyo, ni kweli.
  • 0:39 - 0:42
    Ninapolala, mtu anakuja kulala nami.
  • 0:42 - 0:47
    Hii ilianza nilipokuwa na miaka 25, sasa nina miaka 50 karibu miaka 30
  • 0:48 - 0:52
    Ikiwa kitu kizuri kinakuja, mtu huyu anakuja kulala nami,
  • 0:52 - 0:54
    baada ya hayo, kila kitu kinaharibiwa.
  • 0:54 - 0:56
    Hii ilisababisha matatizo ya ndoa.
  • 0:56 - 0:57
    Ndiyo
  • 0:57 - 0:58
    Je, unaelewa?
  • 0:58 - 0:59
    Unahitaji kuwa huru.
  • 0:59 - 1:02
    Maisha yangu ya ndoa yaliharibiwa, nilitalikiana mara mbili.
  • 1:03 - 1:08
    Katika kazi yangu, nikiweka pesa, lazima nitume pesa, naanza kuwa na shida,
  • 1:08 - 1:11
    Labda kuna mtu anaumwa, lazima nitumie pesa hizi kuwasaidia.
  • 1:11 - 1:14
    Nilikuwa na madeni kila mahali; maisha yangu yalikuwa magumu sana.
  • 1:15 - 1:17
    Omba kwa bidii, "Ee Mungu, niokoe leo!"
  • 1:18 - 1:21
    Mahusiano yangu sio mazuri, nikiwa na mtu.
  • 1:21 - 1:26
    tungekuwa pamoja kwa miaka miwili, miaka mitatu, na ingeisha; tusingejua kwanini.
  • 1:27 - 1:28
    Katika jina kuu la Yesu Kristo!
  • 1:28 - 1:35
    Ninaahidi kwa Mungu kukaa mbali na dhambi, kuomba kila siku, na kumfuata Mungu.
  • 1:35 - 1:36
    Amina!Asante sana.
  • 1:36 - 1:52
    [♪ Music ♪]
Title:
JE, NDOTO INAWEZA KUPELEKEA TALAKA? TAZAMA KWA ISHARA NAMNA HII...
Description:

Kwa miaka mingi, mwanamke huyo alipatwa na mashambulizi ya kiroho ambayo yaliathiri ndoa na fedha zake.

Hii ilisababisha mzunguko wa uharibifu unaorudiwa-hasa katika uhusiano wake, haijalishi alijaribu nini ...

Lakini mkutano mmoja ulibadilisha kila kitu. Alipomgeukia Yesu ili apate ukombozi, minyororo iliyokuwa imemfunga kwa muda mrefu ilikatika!

Iwapo unakabiliwa na mapambano kama hayo na unaona dalili zilezile maishani mwako, jua kwamba Yesu Kristo ndiye jibu—Yeye ndiye Mpaji na Anaweza kurejesha kile ambacho adui anajaribu kuiba!

more » « less
Video Language:
English
Duration:
01:52

Swahili subtitles

Revisions Compare revisions