< Return to Video

JE, NDOTO INAWEZA KUPELEKEA TALAKA? TAZAMA KWA ISHARA NAMNA HII...

  • 0:00 - 0:02
    Moto, katika jina kuu la Yesu Kristo!
  • 0:02 - 0:03
    Katika jina kuu la Yesu Kristo!
  • 0:04 - 0:07
    Ulikuwa unaona mtu katika ndoto yako, mwanamume.
  • 0:07 - 0:07
    Ndiyo.
  • 0:08 - 0:11
    Huyo mwanaume anataka kulala na wewe.
  • 0:11 - 0:12
    Ndiyo, ni kweli.
  • 0:12 - 0:15
    Ninapolala, mtu anakuja kulala nami.
  • 0:15 - 0:18
    Hii ilisababisha matatizo ya ndoa.
  • 0:18 - 0:18
    Ndiyo.
  • 0:19 - 0:19
    Je, unaelewa?
  • 0:19 - 0:22
    Maisha yangu ya ndoa yaliharibiwa, nilitalikiana mara mbili.
  • 0:23 - 0:25
    Omba kwa bidii, "Ee, Mungu, niokoe leo!"
  • 0:25 - 0:27
    Jina langu ni Guigui Clarisse.
  • 0:28 - 0:29
    Ninatoka Sweden.
  • 0:29 - 0:32
    Mtu huyo anakusumbua.
  • 0:33 - 0:33
    Ndiyo
  • 0:33 - 0:38
    Anakusumbua, anakuja kwako, anataka kulala na wewe.
  • 0:38 - 0:39
    Ndiyo, ni kweli.
  • 0:39 - 0:42
    Ninapolala, mtu anakuja kulala nami.
  • 0:42 - 0:47
    Hii ilianza nilipokuwa na miaka 25, sasa nina miaka 50 karibu miaka 30
  • 0:48 - 0:52
    Ikiwa kitu kizuri kinakuja, mtu huyu anakuja kulala nami,
  • 0:52 - 0:54
    baada ya hayo, kila kitu kinaharibiwa.
  • 0:54 - 0:56
    Hii ilisababisha matatizo ya ndoa.
  • 0:56 - 0:57
    Ndiyo
  • 0:57 - 0:58
    Je, unaelewa?
  • 0:58 - 0:59
    Unahitaji kuwa huru.
  • 0:59 - 1:02
    Maisha yangu ya ndoa yaliharibiwa, nilitalikiana mara mbili.
  • 1:03 - 1:08
    Katika kazi yangu, nikiweka pesa, lazima nitume pesa, naanza kuwa na shida,
  • 1:08 - 1:11
    Labda kuna mtu anaumwa, lazima nitumie pesa hizi kuwasaidia.
  • 1:11 - 1:14
    Nilikuwa na madeni kila mahali; maisha yangu yalikuwa magumu sana.
  • 1:15 - 1:17
    Omba kwa bidii, "Ee Mungu, niokoe leo!"
  • 1:18 - 1:21
    Mahusiano yangu sio mazuri, nikiwa na mtu.
  • 1:21 - 1:26
    tungekuwa pamoja kwa miaka miwili, miaka mitatu, na ingeisha; tusingejua kwanini.
  • 1:27 - 1:28
    Katika jina kuu la Yesu Kristo!
  • 1:28 - 1:35
    Ninaahidi kwa Mungu kukaa mbali na dhambi, kuomba kila siku, na kumfuata Mungu.
  • 1:35 - 1:36
    Amina!Asante sana.
  • 1:36 - 1:52
    [♪ Music ♪]
Title:
JE, NDOTO INAWEZA KUPELEKEA TALAKA? TAZAMA KWA ISHARA NAMNA HII...
Description:

more » « less
Video Language:
English
Duration:
01:52

Swahili subtitles

Revisions Compare revisions