< Return to Video

Mungu anapendezwa zaidi na utukufu wako wa MILELE kuliko faraja yako ya SASA!

  • 0:00 - 0:04
    Katika wakati wa Mungu, kila kitu ni kizuri.
  • 0:04 - 0:08
    Mungu huwatunza watoto wake walio
  • 0:08 - 0:11
    wema na waaminifu.
  • 0:11 - 0:15
    Lakini Mungu hatakuachilia baraka
  • 0:15 - 0:19
    ikiwa anajua kwamba baraka zinaweza kusababisha
  • 0:19 - 0:23
    jaribu ambalo litakuondoa kwake.
  • 0:23 - 0:29
    Anavutiwa zaidi na utukufu wako wa milele
  • 0:29 - 0:33
    kuliko faraja yako ya sasa.
  • 0:33 - 0:36
    Kwa hiyo tunza uhusiano wako na Mungu
  • 0:36 - 0:40
    na Yesu atashughulikia matokeo.
Title:
Mungu anapendezwa zaidi na utukufu wako wa MILELE kuliko faraja yako ya SASA!
Description:

“Katika wakati wa Mungu, kila kitu ni kizuri. Mungu huwatunza watoto wake wema na waaminifu. Lakini Mungu hatakuachilia baraka ikiwa anajua kwamba baraka inaweza kusababisha jaribu ambalo litakuondoa kwake. Anapendezwa zaidi na utukufu wako wa milele kuliko faraja yako ya sasa. Kwa hiyo, tunza uhusiano wako na Mungu na Yesu atashughulikia matokeo.”

Unaweza kutazama mahubiri kamili kutoka kwa Ndugu Chris hapa - https://www.youtube.com/watch?v=KBAdcMaAzs4

more » « less
Video Language:
English
Team:
God's Heart TV
Duration:
0:40

Swahili subtitles

Revisions Compare revisions