URAFIKI WA KWELI kamwe hautatoa kafara UKWELI kwa jina la URAFIKI!
-
0:00 - 0:06Katika uhusiano wa kimungu, unapoona kosa,
-
0:06 - 0:15umeitwa kulikabili kwa upendo, si kulifunika.
-
0:15 - 0:21Unapaswa kutafuta marafiki ambao watakabili makosa yako,
-
0:21 - 0:23usifiche ubaya wako.
-
0:23 - 0:29Tafuta marafiki ambao watarekebisha makosa, sio kuficha makosa.
-
0:29 - 0:35Urafiki wa kweli hautatoa kafara ukweli kamwe kwa jina la urafiki.
- Title:
- URAFIKI WA KWELI kamwe hautatoa kafara UKWELI kwa jina la URAFIKI!
- Description:
-
"Katika uhusiano wa kimungu, unapoona makosa, unaitwa kukabiliana nayo kwa upendo, sio kuyaficha. Unapaswa kutafuta marafiki ambao watakabiliana na kosa lako, sio kuficha kosa lako. Tafuta marafiki ambao watarekebisha makosa, sio kuficha makosa. Urafiki wa kweli hautatoa kafara ukweli kwa jina la urafiki."
Unaweza kutazama ujumbe kamili kutoka kwa Ndugu Chris hapa - https://www.youtube.com/watch?v=BWyJInXxbLM
- Video Language:
- English
- Team:
God's Heart TV
- Duration:
- 0:36
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for TRUE FRIENDSHIP will never sacrifice TRUTH in the name of FRIENDSHIP! | May 9, 2025, 11:41 PM |
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for TRUE FRIENDSHIP will never sacrifice TRUTH in the name of FRIENDSHIP! | May 9, 2025, 11:37 PM |
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for TRUE FRIENDSHIP will never sacrifice TRUTH in the name of FRIENDSHIP! | May 9, 2025, 11:35 PM |