< Return to Video

URAFIKI WA KWELI kamwe hautatoa kafara UKWELI kwa jina la URAFIKI!

  • 0:00 - 0:06
    Katika uhusiano wa kimungu, unapoona vibaya,
  • 0:06 - 0:15
    umeitwa kulikabili kwa upendo, si kulifunika.
  • 0:15 - 0:21
    Unapaswa kutafuta marafiki ambao watakabili makosa yako,
  • 0:21 - 0:23
    usifiche ubaya wako.
  • 0:23 - 0:29
    Tafuta marafiki ambao watarekebisha makosa, sio kuficha makosa.
  • 0:29 - 0:35
    Urafiki wa kweli hautatoa ukweli kamwe kwa jina la urafiki.
Title:
URAFIKI WA KWELI kamwe hautatoa kafara UKWELI kwa jina la URAFIKI!
Description:

more » « less
Video Language:
English
Team:
God's Heart TV
Duration:
0:36

Swahili subtitles

Revisions Compare revisions