< Return to Video

Mwachie MUNGU suala hilo

  • 0:00 - 0:02
    Fikiria dhamiri yako.
  • 0:02 - 0:10
    ‘Moyo wangu ni wa thamani sana kuanza kupigana vita katika damu na nyama – vita ninamwachia MUNGU.
  • 0:10 - 0:16
    Moyo wangu ni wa thamani sana kuanza kubadilishana maneno na nyama na damu -
  • 0:16 - 0:19
    Namwachia MUNGU suala hilo.’
  • 0:19 - 0:22
    Kwa sababu majibu yako huamua maisha yako ya baadaye.
Title:
Mwachie MUNGU suala hilo
Description:

“Fikiria dhamiri yako ‘Moyo wangu ni wa thamani sana kuanza kupigana damu na nyama – namwachia vita MUNGU. Moyo wangu ni wa thamani sana kuanza kubadilishana maneno kwa damu na nyama – ninamwachia MUNGU suala hilo.’ Kwa sababu majibu yako yanaamua mustakabali wako.”

Unaweza kutazama ujumbe kamili kutoka kwa Ndugu Chris hapa - https://www.youtube.com/watch?v=O-r9-NDi4Bk

more » « less
Video Language:
English
Team:
God's Heart TV
Duration:
0:23

Swahili subtitles

Revisions