-
Mwaka wa 1952 rais wa zamani Cuba Batista
-
aliongoza mapinduzi ya kijeshi
-
ilipobainika kuwa hangechaguliwa
-
akaamuru udikteta wa jeshi
-
na kuanzisha urafiki na Marekani.
-
Makampuni ya Marekani yakaweza
-
kununua maliasili nyingi ya Cuba,
-
Vile vile Cuba ikawa nchi
-
yenye uhalifu wa kupangwa,
-
hali iliyo kera wakili Fidel Castro.
-
Castro alikusanya vijana 138,
-
Julai 26, 1953 kambi la Moncada likashikwa
-
wakitumaini kupata silaha nyinginezo.
-
Jaribio hilo halikufaulu
-
na waasi wakapambanwa nao.
-
Wengi walionusurika kifo wakashikwa,
-
akiwemo Fidel na nduguye Raul.
-
Kesi ya umma ya walioshikwa ilibadili
-
maoni dhidi ya Castro aliyekemea udikteta
-
na kusema "Historia itanisamehe".
-
Alihukumiwa jela miaka 15,
-
lakini Batista alishinikizwa na mataifa
-
kuleta mapinduzi ya kisiasa kwa miaka 2.
-
Fidel na Raul wakatorokea Mexico kupanga
-
huko wakapata wahamishwaji wenza
-
na daktari Che Guevara wa Argentina,
-
aliyejiunga nao tarehe '26 julai'.
-
Wakati huo huo kura yenye utata
-
na kuongezeka ukosefu wa ajira Cuba,
-
kukachangia maandamano dhidi ya Batista
-
ingawaje maandamano haikuwa ya wanajamii.
-
Batista alidhulumu watu zaidi,
-
kiasi kwamba wengi walitoa wito ajiuzulu.
-
Na huko Mexico,
-
wamapinduzi wakanunua yacht ndogo 'Granma"
-
na mnamo Novemba 1956,
-
watu 82 wakaanza kwenda Cuba.
-
Hata hivyo serikali ya Cuba ilijua
-
kuwa waasi walikuwa wanarejea Cuba
-
na wakashambuliwa.
-
Wachache walinusurika na kujificha.
-
Wakiwa milimani wakasajili wafuasi wapya
-
na kubuni vita vya msituni dhidi ya jeshi
-
Halafu wanahabari waliruhusiwa kuzuru
-
na vituo vyao vya redio vya maharamia,
-
hivi mapambano yao yakatambulika kimataifa
-
na kuongezeka kwa umaarufu wao.
-
Vile vile mijini,
-
waasi wapya wakawa wakishambulia Batista.
-
Kwa hasira, mwaka wa 1958,
-
Batista akatuma jeshi kubwa milimani
-
kuwatoa nje waasi waliojificha humo.
-
Hata hivyo hakufaulu
-
kwani waasi waliweza kuwafurusha
-
kiasi ya maaskari wengine kuwaunga waasi.
-
Waasi nao wakatumia nafasi hii
-
kuzindua mashambulizi yao.
-
Che Guevara akachukua udhibiti wa kikosi
-
na kuelekea Santa Clara.
-
Cienfuegos kwenda Yaguajay na kikos ingine
-
na Castro kufuata na kikosi kingine.
-
Wakipitia miji na vijiji
-
walikaribishwa sana,
-
kudhibitisha kwa dunia utawala wa Batista
-
ulikuwa karibu kuanguka.
-
Nchi zingine zikashawishi Batista kwenda,
-
waasi wakaingia Havana Januari 1959,
-
bila pingamizi kubwa.
-
Wanamapinduzi wakachukua uongozi Cuba
-
na viongozi Fidel, Raul na Che wakaongoza
-
kwa kubadili sera zote za Batista Cuba,
-
na kukamata na kuwaua wandani wake.
-
Hivi Sheria kandamizi
-
zikachangia watu wengi kutorokea Marekani.
-
Na kwa upande mwingine kutaifisha mashamba
-
ya makampuni ya Marekani,
-
wakafunga kasino ya Mob
-
na wakaanza kubadilisha vituo vya afya,
-
makazi na shule.
-
Hizo sera za ujamaa ziliudhi Marekani,
-
na ikaamua kuweka vikwazo vya kiuchumi.
-
Pia Marekani ikawasaidia wahamishwaji
-
kwa jaribio la kuondoa Fidel Castro 1962.
-
Uvamizi huo wa 'Bay of Pigs" ukaanguka.
-
Matokeo ya uvamizi wa 'Bay of Pigs'
-
Castro akasema Cuba ni jamhuri ya kijamaa
-
na akaanza kutafuta muungano na soviti.
-
na huo urafiki ukaleta matokeo mbaya
-
ya 'The Cuban Missile Crisis'.
-
Mapinduzi yakawa ya mrengo wa Kilatini
-
vitendo hivyo kwa njia ingine
-
vikaleta udikteta wa kiitikadi
-
nchi kama Argentina na Chile.