INATOSHA KABISA kuwa na huduma ya midomo bila ya huduma ya maisha!
-
0:00 - 0:03Kipindi cha Mwaka Mpya ni kipindi muhimu sana,
-
0:03 - 0:07sio kusherehekea tu, mshukuru Mungu na kufurahi.
-
0:07 - 0:10Pia ni fursa ya kutafakari
-
0:10 - 0:12katika mwaka unaotoka
-
0:12 - 0:15na maandalizi ya mwaka ujao,
-
0:15 - 0:19kwa sababu kutathmini maisha yetu ni jambo jema.
-
0:19 - 0:24Mambo machache ni hatari zaidi kuliko mtu
-
0:24 - 0:28mwenye maisha yasiyo na tathmini.
-
0:28 - 0:31Matokeo ya kujitathmini kwetu yataamua sisi ni watu wa aina gani.
-
0:31 - 0:34itaamua sisi ni watu wa aina gani.
-
0:34 - 0:39ikiwa tunjitathmini wenyewe kwa dhati,
-
0:39 - 0:44Ninaamini kuwa matokeo ya tafakari yetu
-
0:44 - 0:47yatatuongoza kwenye hitimisho
-
0:47 - 0:52kwamba inatosha.
-
0:52 - 0:58Ukitaka kuwa Mkristo, uwe Mkristo.
-
0:58 - 1:03Inatosha kuhudhuria kanisani
-
1:03 - 1:06bila toba ya kweli.
-
1:06 - 1:07Inatosha
-
1:07 - 1:10kwa neno la maombi katika vinywa vyetu
-
1:10 - 1:14bila Neno la Mungu mioyoni mwetu.
-
1:14 - 1:19Inatosha kutoa huduma ya mdomo
-
1:19 - 1:21bila huduma ya maisha.
-
1:21 - 1:23Watu wa Mungu, inatosha
-
1:23 - 1:26kwa dini ya maneno bila
-
1:26 - 1:28hatua inayolingana
-
1:28 - 1:30kutoka katika uhusiano.
-
1:30 - 1:32Inatosha sisi kuja kanisani
-
1:32 - 1:36Jumapili na kuhamasishwa, kupewa motisha, kupata msukumo
-
1:36 - 1:38katika huduma, katika mahubiri lakini
-
1:38 - 1:41kisha turudi katika tabia zetu mbaya siku ya Jumatatu,
-
1:41 - 1:43tushindwe na fikra zetu Jumanne,
-
1:43 - 1:46kuzama katika udhaifu wetu siku ya Jumatano.
-
1:46 - 1:47Inatosha.
-
1:47 - 1:50Hatuwezi kuendelea hivi.
-
1:50 - 1:55Inatosha kwa sisi kumridhisha mtu
-
1:55 - 1:56na wakati huo huo kudai
-
1:56 - 1:58kwamba tunajaribu kumpendeza Mungu.
-
1:58 - 2:00Tutaendelea mpaka lini kupasha joto
-
2:00 - 2:02viti katika makanisa yetu?
-
2:02 - 2:04Kwa muda gani?
-
2:04 - 2:08Kuja kanisani kukaa tu kuonekana,
-
2:08 - 2:11kuzungumza ili kusikilizwa, kutembea ili kutambuliwa,
-
2:11 - 2:13kutoa ili kusifiwa.
-
2:13 - 2:17Wakati Yesu, Mkuu wa kanisa,
-
2:17 - 2:21anaangalia nia nyuma ya matendo yako.
-
2:21 - 2:25Mwambie jirani yako, "Inatosha!"
- Title:
- INATOSHA KABISA kuwa na huduma ya midomo bila ya huduma ya maisha!
- Description:
-
“Kipindi cha Mwaka Mpya ni kipindi muhimu sana, si kusherehekea tu, kumshukuru Mungu na kushangilia. Pia ni fursa ya kutafakari mwaka unaoisha na maandalizi ya mwaka ujao, kwa sababu kutathmini maisha yetu ni jambo jema. Vitu vichache ni hatari zaidi kuliko mtu aliye na maisha yasiyo na tathmini. Matokeo ya kujitathmini kwetu yataamua sisi ni watu wa aina gani. Tukijitathmini kwa dhati, naamini kuwa matokeo ya tafakari yetu yatatufikisha kwenye hitimisho kwamba inatosha. Ukitaka kuwa Mkristo, uwe Mkristo. Inatosha kuhudhuria kanisa bila toba ya kweli. Inatosha kwa neno la maombi katika vinywa vyetu bila Neno la Mungu mioyoni mwetu. Inatosha kutoa huduma ya mdomo bila ya huduma ya maisha. Enyi watu wa Mungu, inatosha kwa dini ya maneno bila matendo yanayolingana yanayotokana na uhusiano. Inatosha kwetu kuja kanisani siku ya Jumapili ili kuhawihika, kutiwa motisha, kuhamasishwa katika ibada, katika mahubiri lakini kisha turudi kwenye tabia zetu mbaya siku ya Jumatatu, tushindwe na hisi zetu siku ya Jumanne, kuzama katika udhaifu wetu siku ya Jumatano. Inatosha. Hatuwezi kuendelea hivi. Inatosha sisi kumfurahisha mwanadamu na wakati huo huo kudai kwamba tunajaribu kumpendeza Mungu. Je, tutaendelea kupasha joto viti katika makanisa yetu hadi lini? Kwa muda gani - kuja kanisani ili tu kuketi ili kuonekana, kuzungumza ili kusikilizwa, kutembea ili kutazamwa, kutoa ili kusifiwa - wakati Yesu, Mkuu wa kanisa, hutazama nia iliyo nyuma ya matendo yako.
Unaweza kutazama ujumbe kamili kutoka kwa Kaka Chris hapa - https://www.youtube.com/watch?v=Xy7_JSK6tdQ
- Video Language:
- English
- Team:
God's Heart TV
- Duration:
- 02:26
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for ENOUGH is ENOUGH to lip service without life service! | |
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for ENOUGH is ENOUGH to lip service without life service! | |
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for ENOUGH is ENOUGH to lip service without life service! | |
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for ENOUGH is ENOUGH to lip service without life service! | |
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for ENOUGH is ENOUGH to lip service without life service! |