< Return to Video

USIMLAUMU shetani kwa kuingia kupitia mlango unauacha wazi kwa ajili yake!

  • 0:00 - 0:08
    Jaribu ambalo Mungu anaruhusu linaambatana na njia ya kutokea.
  • 0:08 - 0:17
    Lakini jaribu tunaloangukia kwa urahisi ni jaribu tunalolialika.
  • 0:17 - 0:21
    Usimlaumu shetani
    kwa kuingia
  • 0:21 - 0:25
    mlango unauacha
    wazi kwa ajili yake.
  • 0:25 - 0:37
    Ukialika majaribu, usidhani Mungu atakusaidia kupigana na majaribu.
  • 0:37 - 0:46
    Mungu hatakuona katika jaribu lililoalikwa na wewe.
  • 0:46 - 0:53
    Ukilialika, unabaki
    peke yako kupigana nalo.
Title:
USIMLAUMU shetani kwa kuingia kupitia mlango unauacha wazi kwa ajili yake!
Description:

"Jaribio ambalo Mungu analiruhusu linaambatana na njia ya kutokea. Lakini jaribu ambalo tunaangukia kwa urahisi ni jaribu tunaloalika. Usimlaumu shetani kwa kuingia kwa mlango unaouacha wazi kwa ajili yake. Ukikaribisha majaribu, usidhani Mungu atakusaidia kupigana na majaribu. Mungu hatakuona kwenye jaribu lililoalikwa nawewe. Ukilialika, unabaki peke yako kupigana nalo."

Unaweza kutazama ujumbe kamili kutoka kwa Ndugu Chris hapa - https://www.youtube.com/watch?v=fKTPRrm31L0

more » « less
Video Language:
English
Team:
God's Heart TV
Duration:
0:54

Swahili subtitles

Revisions Compare revisions