< Return to Video

USIMLAUMU shetani kwa kuingia kupitia mlango unauacha wazi kwa ajili yake!

  • 0:00 - 0:08
    Jaribu ambalo Mungu anaruhusu linaambatana na njia ya kutokea.
  • 0:08 - 0:17
    Lakini jaribu tunaloanguka kwa urahisi ni jaribu tunaloalika.
  • 0:17 - 0:21
    Usimlaumu shetani
    kwa kuingia
  • 0:21 - 0:25
    mlango unauacha
    wazi kwa ajili yake.
  • 0:25 - 0:37
    Ukialika majaribu, usidhani Mungu atakusaidia kupigana na majaribu.
  • 0:37 - 0:46
    Mungu hatakuona katika jaribu lililoalikwa na wewe.
  • 0:46 - 0:53
    Ukiialika, unabaki
    peke yako kupigana nayo.
Title:
USIMLAUMU shetani kwa kuingia kupitia mlango unauacha wazi kwa ajili yake!
Description:

more » « less
Video Language:
English
Team:
God's Heart TV
Duration:
0:54

Swahili subtitles

Revisions Compare revisions