< Return to Video

MAANDALIZI BORA YA NDOA...

  • 0:00 - 0:08
    Nina neno la ushauri kwa wale wanaomngojea Bwana ndoa.
  • 0:08 - 0:13
    Hakuna kitu kizuri kuhusu kuwa na utoto.
  • 0:13 - 0:22
    Hakuna kitu cha kuvutia katika kutokomaa.
  • 0:22 - 0:28
    Kujenga tabia yako kwa matofali ya nidhamu ya kimungu
  • 0:28 - 0:32
    ni maandalizi bora ya ndoa.
  • 0:32 - 0:35
    Kwa sababu kumbuka hii -
  • 0:35 - 0:42
    nidhamu inayohitajika kukutunza kwa ajili ya ndoa
  • 0:42 - 0:50
    inahitajika pia kukudumisha katika ndoa.
Title:
MAANDALIZI BORA YA NDOA...
Description:

more » « less
Video Language:
English
Team:
God's Heart TV
Duration:
0:50

Swahili subtitles

Revisions Compare revisions