< Return to Video

See your PAIN from the PERSPECTIVE of its PURPOSE!

  • 0:00 - 0:15
    Ukisubiri kwa imani, hutanung'unika hata kama mchakato unahusisha maumivu.
  • 0:15 - 0:23
    Kwamba jambo fulani linauma haimaanishi halina maana.
  • 0:23 - 0:30
    Ndio, kunaweza kuwa na maumivu katika kusubiri,
  • 0:30 - 0:37
    lakini tazama uchungu wako kwa mtazamo wa kusudi lake,
  • 0:37 - 0:44
    na hakika itageuka kuwa faida kwa wakati wa Mungu.
Title:
See your PAIN from the PERSPECTIVE of its PURPOSE!
Description:

more » « less
Video Language:
English
Team:
God's Heart TV
Duration:
0:45

English subtitles

Revisions Compare revisions