< Return to Video

SIOGOPI kwa sababu SIKO PEKE YANGU!

  • 0:00 - 0:09
    “Bwana ni jabali langu na ngome yangu na mwokozi wangu;
  • 0:09 - 0:14
    Mungu wangu, mwamba wangu, nitakayemtumaini;
  • 0:14 - 0:21
    ngao yangu, na pembe ya wokovu wangu, na ngome yangu.” ( Zaburi 18:2 )
  • 0:21 - 0:29
    Nataka utangaze, sema na mimi hivi sasa:
  • 0:29 - 0:39
    “Siogopi kwa sababu siko peke yangu.
  • 0:39 - 0:49
    Mungu wangu ni mwamba wangu. Mungu wangu ni nguvu zangu. Mungu wangu ndiye ngome yangu.
  • 0:49 - 0:55
    Mungu wangu ni ngao yangu. Mungu wangu ndiye ngome yangu.
  • 0:55 - 1:02
    Siogopi kwa sababu siko peke yangu.”
  • 1:02 - 1:09
    Ingawa dhoruba zinaweza kuvuma, Mwamba wangu unabaki.
  • 1:09 - 1:11
    Hiyo ina maana gani, watu wa Mungu?
  • 1:11 - 1:20
    Dhoruba zinaweza kukuzunguka lakini unaweza kuwa na amani, utulivu ndani yako
  • 1:20 - 1:26
    kwa sababu umesimama juu ya mwamba imara wa Neno Hai la Mungu.
Title:
SIOGOPI kwa sababu SIKO PEKE YANGU!
Description:

“‘Bwana ni jabali langu na ngome yangu na mwokozi wangu; Mungu wangu, mwamba wangu, nitakayemtumaini; ngao yangu, na pembe ya wokovu wangu, na ngome yangu.’ ( Zaburi 18:2 ) Ninataka utangaze hivi: ‘Siogopi kwa sababu siko peke yangu. Mungu wangu ni mwamba wangu. Mungu wangu ni nguvu yangu. Mungu wangu ndiye ngome yangu. Mungu wangu ni ngao yangu. Mungu wangu ndiye ngome yangu. Siogopi kwa sababu siko peke yangu. Ingawa dhoruba zinaweza kuvuma, Mwamba wangu unabaki.’ Hilo lamaanisha nini, watu wa Mungu? Dhoruba zinaweza kukuzunguka lakini unaweza kuwa na amani, utulivu ndani yako kwa sababu umesimama juu ya mwamba imara wa Neno Hai la Mungu.”

Unaweza kutazama muda wote wa maombi kabla ya ujumbe huu na Ndugu Chris hapa - https://www.youtube.com/watch?v=3npbdLrBvrY

more » « less
Video Language:
English
Team:
God's Heart TV
Duration:
01:27

Swahili subtitles

Revisions Compare revisions