Jinsi ya KUBADILI Maisha Yako Mwaka 2024!!!
-
0:00 - 0:06Maandalizi bora zaidi ya 2024
-
0:06 - 0:10huanza na tathmini ya kila siku,
-
0:10 - 0:14kuanzia LEO.
-
0:14 - 0:19Kwa sababu haijalishi uzito wa nia zetu
-
0:19 - 0:23au maazimio, jua hili -
-
0:23 - 0:29maisha yako hayatabadilika mnamo 2024
-
0:29 - 0:36isipokuwa unabadilisha kitu unachofanya kila siku.
-
0:36 - 0:42Ili kubaki thabiti mwaka mzima wa 2024,
-
0:42 - 0:46kaa thabiti leo.
-
0:46 - 0:50Ili kujiandaa kwa mambo hayo huwezi kujiandaa
-
0:50 - 0:55mnamo 2024, jali leo
-
0:55 - 0:59kwa sababu leo tu ni yako.
- Title:
- Jinsi ya KUBADILI Maisha Yako Mwaka 2024!!!
- Description:
-
Maisha yako HATABADILIKA 2024 usipofanya hivi!
"Maandalizi bora ya 2024 yanaanza na tathmini ya kila siku, kuanzia LEO. Kwa sababu haijalishi uzito wa nia au maazimio yetu, fahamu hili - maisha yako hayatabadilika 2024 isipokuwa ubadilishe kitu unachofanya kila siku. Ili kubaki thabiti. katika mwaka wa 2024, kaa thabiti leo. Ili kujiandaa kwa mambo ambayo huwezi kujiandaa kwa ajili ya 2024, jali leo kwa sababu ni leo pekee yako."
- Video Language:
- English
- Team:
- God's Heart TV
- Duration:
- 01:00
Stephenmigwi edited Swahili subtitles for How To CHANGE Your Life In 2024!!! | ||
Stephenmigwi edited Swahili subtitles for How To CHANGE Your Life In 2024!!! | ||
Josephinechepkorir edited Swahili subtitles for How To CHANGE Your Life In 2024!!! |