hide💡July 26 marks the anniversary of the Americans with Disabilities Act.
Accessibility and Inclusion is at the heart of what we do, learn with Amara.org about the role of captions in ADA compliance!

< Return to Video

You are FREE to FLEE from sin!

  • 0:00 - 0:10
    Mungu amegeuza hali yako ili uwache dhambi.
  • 0:10 - 0:17
    Kwa maneno mengine, uko huru kutoroka dhambi.
  • 0:17 - 0:21
    Nataka useme hivyo sasa hivi. Tangaza!
  • 0:21 - 0:24
    Kwa imani, wacha nisikie ukisema hivyo nyumbani kwako.
  • 0:24 - 0:32
    Sema, 'Niko huru kutoroka dhambi.
  • 0:32 - 0:38
    Nimekombolewa ili niweze kutoroka dhambi.
  • 0:38 - 0:44
    Nimefanywa upya ili kukimbia dhambi.
  • 0:44 - 0:51
    Nimebarikiwa kusema kwaheri kwa dhambi.'
  • 0:51 - 0:59
    Uhuru kutoka kwa nguvu ya dhambi haikupi kibali cha kucheza na sumu ya dhambi.
Title:
You are FREE to FLEE from sin!
Description:

more » « less
Video Language:
English
Team:
God's Heart TV
Duration:
01:00
babubiko edited Swahili subtitles for You are FREE to FLEE from sin! Jul 25, 2025, 3:05 PM

Swahili subtitles

Incomplete

Revisions