Comparing Fractions 2
-
0:01 - 0:05Tafuta Kigawe kidogo cha Shirika (KDS) cha hizi namba zifuatazo
-
0:05 - 0:0815, 6, na 10?
-
0:08 - 0:10kigawe kidogo cha shirika ni
-
0:10 - 0:11kama neno lenyewe linavyosema.
-
0:11 - 0:14Ni kigawe kidogo cha shirika ya namba hizi.
-
0:14 - 0:16Na ninafahamu kwamba hiyo haijakusaidia sana kuelewa.
-
0:16 - 0:18Hebu tufanye baadhi ya mifano.
-
0:18 - 0:20Ili tuweze kufanya hebu tufikirie vigawe tofauti vya
-
0:20 - 0:2415, 6, na 10 na kisha kutafuta kigawe chao kidogo kuliko vyote
-
0:24 - 0:27cha shirika.
-
0:27 - 0:30Hebu tutafute vigawe vya 15.
-
0:30 - 0:33Kwa hiyo tuna 1 mara 15 ni 15.
-
0:33 - 0:352 mara 15 ni 30.
-
0:35 - 0:38Kisha kama ukiongeza 15 tena, utapata 45.
-
0:38 - 0:40Unaongeza 15 tena, unapata 60.
-
0:40 - 0:44Unaongeza 15 tena, unapata 75
-
0:44 - 0:46Unaongeza 15 tena, unapata 90.
-
0:46 - 0:50Unaongeza 15 tena, unapata 105.
-
0:50 - 0:53Lakini bado hakuna vigawe ambavyo ni vya shirika
-
0:53 - 0:55kwa mfumo huu tunaweza kuendelea zaidi.
-
0:55 - 0:57Lakini nitaishia kwenye hii namba hapa.
-
0:57 - 1:00kwa hiyo hivyo ndivyo vigawe vya 15 mpaka 105.
-
1:00 - 1:05Vinginevyo tunaweza kuendelea tu.
-
1:05 - 1:07Sasa hebu tutafute vigawe vya 6.
-
1:10 - 1:131 mara 6 ni 6.
-
1:13 - 1:152 mara 6 ni 12.
-
1:15 - 1:163 mara 6 ni 18.
-
1:16 - 1:184 mara 6 ni 24.
-
1:18 - 1:205 mara 6 ni 30.
-
1:20 - 1:246 mara 6 ni 36.
-
1:24 - 1:267 mara 6 ni 42.
-
1:26 - 1:288 mara 6 ni 48.
-
1:28 - 1:309 mara 6 ni 54.
-
1:30 - 1:3210 mara 6 ni 60.
-
1:32 - 1:3560 tuishie hapa kwa sababu
-
1:35 - 1:38tayari ni kigawe cha shirika cha 15 na 60,
-
1:38 - 1:40ingawa tuna vigawe viwili hapa.
-
1:40 - 1:41Tuna 30 na 30 yenyewe.
-
1:41 - 1:42Tuna 60 na 60 yenyewe.
-
1:42 - 1:45kwa hiyo kigawe kidogo kuliko vyote na kama
-
1:45 - 1:48tungekuwa tunataka vigawe vya 15 na 6,
-
1:48 - 1:49tungesema 30.
-
1:49 - 1:51Ngoja niandike hapa kama namba ya katikati.
-
1:51 - 1:58kwa hiyo KDS cha 15 na 6,
-
1:58 - 2:00yaani kigawe kidogo kabisa ambacho ni cha shirika,
-
2:00 - 2:01tunaviona hapa.
-
2:01 - 2:0315 mara 2 ni 30.
-
2:03 - 2:06Na 6 mara 5 ni 30.
-
2:06 - 2:08Kwa hiyo hiki ni kigawe kidogo cha shirika.
-
2:08 - 2:10Na ndiyo kigawe kidogo cha shirika kuliko vyote.
-
2:10 - 2:1260 ni pia kigawe cha shirika.
-
2:12 - 2:13Lakini ni kikubwa.
-
2:13 - 2:15Hiki ni kigawe kidogo cha shirika.
-
2:15 - 2:17Nacho ni 30.
-
2:17 - 2:19Lakini bado hatujafikiria kuhusu 10 .
-
2:19 - 2:20Hebu tuiandike 10 hapa.
-
2:20 - 2:23Nadhani umeshaona inapoelekea.
-
2:23 - 2:24Hebu tutafute vigawe vya 10.
-
2:24 - 2:28Ni 10, 20, 30, 40.
-
2:28 - 2:29Tumeshaandika vya kutosha,
-
2:29 - 2:31kwa sababu tumeshafika 30.
-
2:31 - 2:37Na 30 ni kigawe cha shirika cha 15 na 6.
-
2:37 - 2:39Na ndicho kigawe cha shirika kidogo kuliko vyote.
-
2:39 - 2:45Ni kweli kwamba KDS cha 15, 6, na 10
-
2:45 - 2:48ni 30.
-
2:48 - 2:50Hii ni njia ya kwanza kutafuta kigawe cha shirika.
-
2:50 - 2:53Hebu angalia vigawe vya kila namba
-
2:53 - 2:56na kisha angalia zina kigawe gani kidogo kuliko vyote
-
2:56 - 2:57ambacho ni cha shirika.
-
2:57 - 2:59Namna nyingine ya kufanya ni kuangalia
-
2:59 - 3:02vigawo tasa vya hizi namba.
-
3:02 - 3:04Na kigawe kidogo cha shirika ni ile namba ambayo
-
3:04 - 3:08ina sifa ya vigawo tasa
-
3:08 - 3:09vya hizi namba na si vinginevyo.
-
3:09 - 3:11Kwa hiyo ngoja nikuoneshe ninamaanisha nini.
-
3:11 - 3:13Ungeweza kufanya hivi.
-
3:13 - 3:17Au ungeweza kusema 15 ni sawa na 3 mara 5.
-
3:17 - 3:18ndiyo hivyo tu.
-
3:18 - 3:19Ndiyo kigawo tasa chake.
-
3:19 - 3:2115 ni 3 mara 5.
-
3:21 - 3:23Zote 3 na 5 ni tasa
-
3:23 - 3:27Tunaweza kusema 6 ni sawa na 2 mara 3.
-
3:27 - 3:28Hiki ni.
-
3:28 - 3:29Kigawo tasa chake.
-
3:29 - 3:32Zote 2 na 3 ni tasa.
-
3:32 - 3:38Kisha tunaweza kusema kwamba 10 ni sawa na 2 mara 5.
-
3:38 - 3:39Zote 2 na 5 ni tasa.
-
3:39 - 3:41Kwa hiyo tunatafuta vigawo.
-
3:41 - 3:50Kwa hiyo kigawe kidogo cha shirika cha 15, 6 na 10
-
3:50 - 3:52tunatakiwa kuwa na vigawo tasa hivi vyote.
-
3:52 - 3:56Ninachomaanisha, inatakiwa iwe inagawanyika kwa 15,
-
3:56 - 3:59inatakiwa kuwa na angalau 3 moja na 5 moja
-
3:59 - 4:01katika kutafuta vigawo tasa vyake.
-
4:01 - 4:04Kwa hiyo inatakiwa angalau 3 moja na 5 moja.
-
4:04 - 4:07Kwa kuwa na 3 mara 5 katika kutafuta vigawo tasa vyake ,
-
4:07 - 4:10inatuhakikishia hii namba inagawanyika kwa 15.
-
4:10 - 4:14Ili kugawanyika kwa 6, inatakiwa kuwa na angalau 2 moja na 3 moja.
-
4:14 - 4:16Kwa hiyo inatakiwa kuwa na angalau 2 moja.
-
4:16 - 4:18Na tayari tuna 3 hapa.
-
4:18 - 4:19Hicho ndicho tulichokuwa tunataka.
-
4:19 - 4:20Tunahitaji 3 moja.
-
4:20 - 4:22kwa hiyo 2 na 3, ni 2 mara 3,
-
4:22 - 4:25hakikisha zinagawanyika kwa 6.
-
4:25 - 4:26Ngoja niweke bayana.
-
4:26 - 4:30Hii hapa ni 15
-
4:30 - 4:32Na ili kuhakikisha kwamba inagawanyika kwa 10,
-
4:32 - 4:35inabidi tuwe na angalau 2 moja na 5 moja.
-
4:38 - 4:43Hizi mbili hapa hakikisha zinagawanyika kwa 10.
-
4:43 - 4:44Tayari tumeshapata vyote.
-
4:44 - 4:48Hii ni 2 mara 3 mara 5 ina vigawo tasa vyote
-
4:48 - 4:51vya 10, 6, au 15.
-
4:51 - 4:53Kwa hiyo ni kigawe kidogo cha shirika.
-
4:53 - 4:57Na kama ukiizidisha hii, utapata 2 mara 3 ni 6.
-
4:57 - 5:006 mara 5 ni 30.
-
5:00 - 5:04Kwa hiyo kwa kutumia njia yoyote, zote hizi mbili zinafaa.
-
5:04 - 5:06Na umeona kwa nini zinaleta maana.
-
5:06 - 5:10Hii njia ya pili ni nzuri zaidi
-
5:10 - 5:14kama utakuwa na namba kubwa
-
5:14 - 5:17ambazo utahitaji kuzizidisha kwa muda mrefu.
-
5:17 - 5:20Njia yoyote, kati ya hizi zinafaa
-
5:20 - 5:23kutafuta kigawe kidogo cha shirika.
-
5:23 - 5:23
- Title:
- Comparing Fractions 2
- Description:
-
Need help comparing fractions? Try simplifying them first then finding a common denominator. The result are two fractions you can really compare.
Practice this lesson yourself on KhanAcademy.org right now: https://www.khanacademy.org/math/pre-algebra/fractions-pre-alg/comparing-fractions-pre-alg/e/comparing_fractions_2?utm_source=YT&utm_medium=Desc&utm_campaign=PreAlgebra
Watch the next lesson: https://www.khanacademy.org/math/pre-algebra/fractions-pre-alg/comparing-fractions-pre-alg/v/ordering-fractions?utm_source=YT&utm_medium=Desc&utm_campaign=PreAlgebra
Missed the previous lesson?
https://www.khanacademy.org/math/pre-algebra/fractions-pre-alg/comparing-fractions-pre-alg/v/comparing-fractions?utm_source=YT&utm_medium=Desc&utm_campaign=PreAlgebraPre-Algebra on Khan Academy: No way, this isn't your run of the mill arithmetic. This is Pre-algebra. You're about to play with the professionals. Think of pre-algebra as a runway. You're the airplane and algebra is your sunny vacation destination. Without the runway you're not going anywhere. Seriously, the foundation for all higher mathematics is laid with many of the concepts that we will introduce to you here: negative numbers, absolute value, factors, multiples, decimals, and fractions to name a few. So buckle up and move your seat into the upright position. We're about to take off!
About Khan Academy: Khan Academy offers practice exercises, instructional videos, and a personalized learning dashboard that empower learners to study at their own pace in and outside of the classroom. We tackle math, science, computer programming, history, art history, economics, and more. Our math missions guide learners from kindergarten to calculus using state-of-the-art, adaptive technology that identifies strengths and learning gaps. We've also partnered with institutions like NASA, The Museum of Modern Art, The California Academy of Sciences, and MIT to offer specialized content.
For free. For everyone. Forever. #YouCanLearnAnything
Subscribe to KhanAcademy’s Pre-Algebra channel:: https://www.youtube.com/channel/UCIMlYkATtXOFswVoCZN7nAA?sub_confirmation=1
Subscribe to KhanAcademy: https://www.youtube.com/subscription_center?add_user=khanacademy - Video Language:
- English
- Team:
Khan Academy
- Duration:
- 05:24