< Return to Video

Why you can't compare Covid-19 vaccines

  • 0:01 - 0:06
    Hii ni chanjo mpya ya COVID-19
    ya dozi moja kutoka Johnson & Johnson
  • 0:06 - 0:09
    katika mapema ya Machi,
    zaidi ya dozi 6,000
  • 0:09 - 0:13
    zilipaswa kusafiriswa
    kwa wakazi wa jiji la Detroit,Michigan
  • 0:13 - 0:15
    Lakini meya alisema"Hapana asante"
  • 0:15 - 0:18
    "Moderna na Pfizer ndio bora
  • 0:18 - 0:20
    na niko tayari kufanya kila ninaweza
  • 0:20 - 0:24
    kuhakikisha wakazi
    wa jiji la detroit wanapata iliyo bora."
  • 0:24 - 0:29
    alikuwa akirejea tarakwimu hizi:
    viwango vya ufanisi wa chanjo
  • 0:29 - 0:32
    Chanjo ya Pflizer/BioNTech na Moderna
  • 0:32 - 0:34
    Zina viwango vya ufanisi
    wa hali ya juu saana:
  • 0:34 - 0:37
    Asilimia 95 na 94
  • 0:37 - 0:39
    lakini kwa hiyo ya Johnson & Johnson
  • 0:39 - 0:41
    kiwango chake ni asilimia 66 pekee
  • 0:41 - 0:46
    na ikiwa unatazama hizi takwimu hizi pekee
    ni kawaida kufikiria kuwa chanjo hizi
  • 0:46 - 0:48
    ni mbaya kuliko hizi
  • 0:48 - 0:50
    Lakini dhana niyo si sahihi
  • 0:50 - 0:54
    Hizi takwimu
    labda si kipimo kikuu
  • 0:54 - 0:57
    cha jinsi chanjo hizi zinafanya kazi
  • 0:57 - 0:58
    Ili kuelewa ni nini,
  • 0:58 - 1:02
    Kwanza inapaswa kuelewa ni
    nini chanjo inapaswa kufanya.
  • 1:06 - 1:11
    Kiwango cha ufanisi wa chanjo hupimwa
    katika majaribio makubwa ya kliniki
  • 1:11 - 1:15
    Wakati chanjo inajaribiwa
    kwa maelfu ya watu
  • 1:15 - 1:17
    Watu hao wanagawanywa
    katika vikundi viwili;
  • 1:17 - 1:21
    nusu wanapata chanjo,
    na nusu wanapata chanjo bandia
  • 1:21 - 1:23
    Kisha wanatolewa kuendelea na maisha yao.
  • 1:23 - 1:27
    wakati wanasayansi wanafuatilia ikiwa
    watapata COVID-19 au la kwa miezi kadhaa
  • 1:27 - 1:34
    Katika majaribio ya Pfizer-BioNTech,
    mfano kulikuwa na washiriki 43,000.
  • 1:34 - 1:39
    mwishowe watu 170 waliopata maambukizo ya
    ya COVID-19,
  • 1:39 - 1:42
    Na jinsi watu hao
    wanavyojumuishwa katika kila kundi
  • 1:42 - 1:45
    inaamua ufanisi wa chanjo
  • 1:45 - 1:48
    ikiwa 170 wangegawanywa sawa
  • 1:48 - 1:51
    hiyo ingemaanisha una nafasi
    sawa ya kuugua na chanjo
  • 1:51 - 1:52
    kama bila ya hiyo.
  • 1:52 - 1:56
    kwa hivyo ingekuwa na ufanisi wa 0%
  • 1:56 - 2:02
    Ikiwa watu wote 170 walikuwa katika kundi
    la kidonge bandia na hakuna aliyeugua
  • 2:02 - 2:06
    ingekuwa na ufanisi wa asilimia 100.
  • 2:06 - 2:10
    Katika majaribio haya maalum kulikuwa
    na 162 katika kundi la kidonge bandia
  • 2:10 - 2:12
    na 8 tu katika kundi la chanjo
  • 2:12 - 2:18
    Inamaanisha walio pata chanjo walikuwa na
    nafasi asilimia 95 ndogo kuugua
  • 2:18 - 2:22
    Chanjo ilikuwa na ufanisi wa asilimia 95
  • 2:23 - 2:29
    hii haimaanishi ikiwa watu 100 wanapata
    chanjo ,5 kati yao watapata maambukizo
  • 2:29 - 2:34
    badala yake ,asilimia 95
    inatumika kwa mtu binafsi
  • 2:34 - 2:35
    kwa hivyo kila mtu aliyechanjwa
  • 2:35 - 2:41
    ana nafasi asilimia 95 ndogo kuliko mtu
    asiye na chanjo kupata maambukizo
  • 2:41 - 2:44
    kila muda wanapokutana
    na virusi vya covid 19
  • 2:44 - 2:49
    Na kiwango cha ufanisi wa kila
    chanjo hukadiriwa kwa njia ileile
  • 2:49 - 2:55
    Lakini majaribio ya kila chanjo
    yanaweza kufanywa katika tofauti kabisa"
  • 2:55 - 2:58
    "Hivyo, moja ya mambo muhimu sana hapa"
  • 2:58 - 2:59
    wakati tunaangalia hizi takwimu
  • 2:59 - 3:03
    ni wakati ambao
    majaribio ya kliniki yalifanywa
  • 3:03 - 3:09
    hii ni idadi ya kesi za COVID-19 nchini
    marekani tangu jangahilo lilipoanza
  • 3:09 - 3:14
    majaribio ya moderna yalifanywa kabisa
    nchini marekani wakati wa kiangazi
  • 3:14 - 3:17
    majaribio ya pfizer-BioNTech yalikuwa
    nchini marekani pia mwanzoni
  • 3:17 - 3:20
    na wakati huo huo
  • 3:20 - 3:25
    walakini,Johnson & Johnson,walifanya
    majaribio yao nchini marekani wakati huo
  • 3:25 - 3:26
    wakati kulikuwa na fursa zaidi
  • 3:26 - 3:30
    ili washiriki waweze
    kuwa wazi kwa maambukizo
  • 3:30 - 3:33
    na majaribio mengi
    yalifanyika katika nchi nyingine
  • 3:33 - 3:36
    kwa kiasi kikubwa South Africa and Brazil
  • 3:36 - 3:40
    Na katika nchi nyingine hizi,
    sio tu viwango vya kesi vilikuwa juu,
  • 3:40 - 3:43
    lakini virusi yenyewe ilikuwa tofauti
  • 3:43 - 3:47
    majaribio yalifanyika wakati
    aina mpya za COVID-19 zilipojitokeza
  • 3:47 - 3:50
    na kuwa maambukizo makuu katika nchi hizi
  • 3:50 - 3:54
    aina za virusi ambazo zina nafasi kubwa
    zaidi ya kuumbukiza washiriki
  • 3:54 - 3:59
    nchini africa kusini keshi nyingi katika
    majaribio ya johnson johnson zilikuwa
  • 3:59 - 4:03
    aina ya mabadiliko, siyo ile asili
    iliyokuwa katika US wakati wa kiangazi
  • 4:03 - 4:09
    Na licha ya hayo, bado ilipunguza
    maambukizo kwa kiasi kikubwa.
  • 4:09 - 4:12
    "Ikiwa unajaribu kufanya linganisho
    moja kwa moja kati ya"
  • 4:12 - 4:16
    Inahitaji wamechunguzwa katika majaribio
    yaleyale, na vigezo vya kuingizwa sawa.
  • 4:16 - 4:19
    Katika sehemu sawa za dunia,
    wakati uleule.
  • 4:19 - 4:22
    "Ikiwa tungechukua chanjo
    za Pfizer na Moderna na
  • 4:22 - 4:27
    Kufanya upya jaribio lao klinikini wakati
    uleule tulipoona jaribio la J&J."
  • 4:27 - 4:31
    Huenda tukawaona takwimu
    tofauti kabisa za ufanisi kwa hizo
  • 4:31 - 4:36
    Takwimu hizi za ufanisi
    zinaelezea tu nini kilichotokea kila
  • 4:36 - 4:39
    Haiwezi kutabiri kwa usahihi
    kitakachotokea ulimwenguni halisi.
  • 4:39 - 4:45
    Lakini wataalamu wengi wanadai kuwa hii
    sio takwimu bora ya kutathmini chanjo."
  • 4:45 - 4:49
    Kwa sababu kuzuia maambukizo yoyote
    kwa ujumla sio daima lengo la chanjo."
  • 4:49 - 4:54
    Lengo la mpango wa chanjo
    ya Covid-19 sio kufikia 'Covid'
  • 4:54 - 4:57
    lakini ni kutuliza virusi
    kwa kuvinyang'anya nguvu
  • 4:57 - 5:01
    kuondoa uwezo wake kusababisha
    maradhi akali, kulazwa hospitalini,
  • 5:01 - 5:06
    "Inasaidia kuangalia matokeo
    tofauti ya kukutana na Covid-19 kama hivi
  • 5:06 - 5:09
    Kesi bora zaidi ni kwamba
    hupatwi na ugonjwa kabisa.
  • 5:09 - 5:12
    Kesi mbaya zaidi ni kifo.
  • 5:12 - 5:15
    Katikati yake, kuna kulazwa hospitalini,
    kuanzia kwa hali ngumu hadi wastani.
  • 5:15 - 5:18
    au kutokuwa na dalili kabisa
  • 5:18 - 5:24
    Katika mazingira bora,
    chanjo hukupa ulinzi wote
  • 5:24 - 5:30
    Lakini kwa uhalisia, hiyo sio lengo kuu la
  • 5:30 - 5:35
    Lengo halisi ni kutoa mwili wako
    ulinzi wa kutosha kufunika haya
  • 5:35 - 5:39
    Kwa hivyo, ikiwa utapata
    maambukizo, itaonekana zaidi kama mafua.
  • 5:39 - 5:42
    Badala ya jambo ambalo
    ungekulazwa hospitalini kwa ajili yake
  • 5:42 - 5:47
    Na hii ni jambo moja ambalo kila moja ya
    chanjo hizi za Covid-19 hufanya vizuri
  • 5:47 - 5:52
    Katika majaribio haya yote, wakati baadhi
    ya watu katika makundi ya placebo walikuwa
  • 5:52 - 5:54
    au hata kufariki kutokana na Covid-19
  • 5:54 - 5:59
    Hakuna mtu aliyevaccinate kabisa,
    katika majaribio haya yoyote,
  • 5:59 - 6:02
    Hakuna aliyepelekwa hospitalini
    au kufariki kutokana na Covid-19
  • 6:02 - 6:04
    Jambo moja ningefurahi meya angekielewa
  • 6:04 - 6:11
    Ni kwamba chanjo zote tatu zimekuwa
    karibu na 100% ufanisi katika kulinda."
  • 6:11 - 6:16
    Meeya wa Detroit alirudi nyuma
    na akasema atakuwa akitumia Johnson &
  • 6:16 - 6:21
    kwa sababu bado ni kwa kiasi kikubwa
    ufanisi dhidi ya tunavyojali
  • 6:21 - 6:25
    Ufanisi ni muhimu.
    Lakini sio jambo muhimu zaidi.
  • 6:25 - 6:30
    Swali sio ni chanjo gani itakayekulinda kutokana na Covid yoyote
  • 6:30 - 6:32
    bali ni ipi itakayokuweka hai?
  • 6:32 - 6:34
    au kutolazwa hospitalini?
  • 6:34 - 6:36
    Ni ipi itakayosaidia kumaliza janga?
  • 6:36 - 6:38
    Na hiyo inaweza kuwa yoyote kati yao
  • 6:38 - 6:42
    "Chanjo bora kwa sasa ni ile uliyopewa."
  • 6:42 - 6:46
    "Kila chanjo inayopewa kwa mtu mmoja
    inatuleta karibu mwisho wa janga hili."
Title:
Why you can't compare Covid-19 vaccines
Description:

more » « less
Video Language:
English
Team:
Amplifying Voices
Project:
COVID-19 Pandemic
Duration:
07:02

Swahili subtitles

Revisions Compare revisions