It is time to stop SITTING BACK in your SETBACK!
-
0:00 - 0:09Ni wakati wa kuacha kukaa ndani ya kushindwa kwetu.
-
0:09 - 0:12Wana wa Mungu, nitazungumza na biashara yako sasa hivi.
-
0:12 - 0:18Nitazungumza na taaluma yako. Nitazungumza na fedha zako.
-
0:18 - 0:22Wekwa alama ya fadhili wa Kimungu.
-
0:22 - 0:25Wekwa alama ya maendeleo ya Kimungu.
-
0:25 - 0:29Wekwa alama ya kutiwa nguvu ya Kimungu.
-
0:29 - 0:37Wekwa alama ya maendeleo ya Kimungu!
-
0:37 - 0:41Katika biashara yako - wekwa alama ya mafanikio ya Kimungu.
-
0:41 - 0:47Katika kazi yako - wekwa alama ya kukuzwa ya Kimungu.
-
0:47 - 0:53Katika fedha zako - wekwa alama ya ukuaji wa Kimungu.
-
0:53 - 0:57Ipokee. Ipokee katika Jina la Yesu!
- Title:
- It is time to stop SITTING BACK in your SETBACK!
- Description:
-
- Video Language:
- English
- Team:
God's Heart TV
- Duration:
- 0:58
![]() |
babubiko edited Swahili subtitles for It is time to stop SITTING BACK in your SETBACK! |