-
Kila ndoa liko na kutokuelewana, lakini
sio kutoelewana yote inaweza jenga ndoa
-
Kutokuelewana ni jambo la kawaida hata
katika ndoa iliyo na mungu
-
lakini kutoelewana inafaa kuleta
kuelewana zaidi
-
Kutokuelewana yafaa ilete kuelewana
kukubwa zaidi
-
tunapotelewa na funzo
linatokana na kutokuelewana
-
badala ya iwe funzo, tunaishia
kurudia makosa yanayoleta kutokuelewana
-
na hio ndio sababu inayofanya mapenzi
inaingiza baridi, tunaishi kwa mambo ya kale
-
unamkumbusha bwana yako makosa
yaliyopita
-
unamkumbusha bibi yako makosa
yaliyopita wakati kunapokuwa na mzozo
-
unakuwa ukirudia ile makosa
-
badala ya kuyafanya yale makosa yawe funzo
badala ya kukomaa kupitia ile kutoelewana.
-
kutokuelewana lazima kutajileta
-
kutokuelewana lazima kutajileta
-
mizozo lazima itakuja.
-
lakini sisi ni Wakristo wanaoelewa kwamba
ya kale yamepita
-
tunafaa kujifunza kupitia ile kutoku-
elewana.
-
Kuna tofauti kati ya uzoefu wa maisha na
mafunzo ya maisha.