NINI KINAFANYA MAOMBI NA IBADA KUWA NA NGUVU HIVYO? UKIRI WA SHETANI!!!
-
0:00 - 0:02Wewe ni nani demu? Ongea!
-
0:03 - 0:04Nena kwa jina kuu la Yesu!
-
0:04 - 0:06Moto wa Roho Mtakatifu!
-
0:06 - 0:08Moto juu ya mwili wako wote!
-
0:08 - 0:10Tunataka kumwangamiza!
-
0:10 - 0:13Lakini yeye ni mkaidi sana!
-
0:15 - 0:21"Juu Sana! Aliye Juu Sana!" Kila siku, "Aliye Juu Zaidi!"
-
0:21 - 0:24Tunataka kuwaangamiza wote!
-
0:24 - 0:27Mimi ni Anita, ninatoka Australlia.
-
0:27 - 0:33Mtu wa Mungu aliponigusa, nilianza tu kutembea huku na kule. Sikujua kwa nini nilikuwa nikitembea huku na kule.
-
0:33 - 0:38Nilihisi kukimbia. Nilikuwa na wasiwasi kwa miguu yangu.
-
0:39 - 0:41Nena, pepo! Umemfanya nini?
-
0:42 - 0:43Unamuangamizaje?
-
0:44 - 0:52Kazi yake. Yeye ni mwanamke mkubwa. Kubwa!
-
0:52 - 0:57Kwa upande wa kile ninachofanya katika kazi yangu, ninaongoza programu kubwa ndani ya sekta ya serikali.
-
0:57 - 1:01Hivyo ndivyo mimi hufanya wakati mabadiliko yanahitaji kutekelezwa.
-
1:01 - 1:07Hapo ndipo ninapoingia na kufanya hivyo, wakati mwingine katika serikali ya jimbo au serikali ya shirikisho. Hivyo ndivyo ninavyofanya.
-
1:07 - 1:10Umefanya nini kwa familia yake, kwa kazi yake, kwa afya yake?
-
1:11 - 1:12Nena kwa jina kuu la Yesu!
-
1:12 - 1:17Kazi yake, hatutaki aendelee! Tunaendelea kumkatisha tamaa!
-
1:17 - 1:24Nadhani (pepo) alikuwa akimaanisha baadhi ya wanafamilia yangu ambao wamevamiwa.
-
1:24 - 1:26Katika kazi zao na afya zao pia.
-
1:27 - 1:31Mambo yamekuwa hayaendi vizuri, kama mtu angetarajia.
-
1:31 - 1:33Kwa hivyo ndio, naweza kudhibitisha hilo. Ndiyo.
-
1:33 - 1:36Kuchanganyikiwa sana, kurudi nyuma sana.
-
1:37 - 1:40Wakati mwingine sijui kurudi nyuma kunatoka wapi.
-
1:40 - 1:44Ilikuwa ngumu sana katika suala la mahali pa kazi na wapi nilipaswa kwenda.
-
1:44 - 1:46lakini yeye ni mkubwa sana
-
1:46 - 1:50Anafanya mambo makubwa.
-
1:50 - 1:55Anakotoka, anafanya mambo makubwa kwa urahisi kama hivyo,
-
1:55 - 1:59kwa sababu yeye humwita Aliye Juu
-
1:59 - 2:03"Juu sana!"
-
2:03 - 2:05Ninatumia muda mwingi katika maombi.
-
2:05 - 2:08Katika nyumba yangu mwenyewe, nina chumba cha maombi
-
2:08 - 2:14Mimi hutumia wakati mwingi kumwabudu Mungu, nikiita jina Lake, Mungu Aliye Juu Zaidi.
-
2:14 - 2:17Ninatumia muda mwingi katika maombi na kumwabudu Mungu.
-
2:19 - 2:21Ni wakati wa wewe kuondoka kwenye mwili huu!
-
2:21 - 2:23Katika jina kuu la Yesu!
-
2:23 - 2:26Moto juu ya mwili wako wote!
-
2:26 - 2:28Toka kwa jina kuu la Yesu!
-
2:28 - 2:30Katika jina kuu la Yesu Kristo!
-
2:30 - 2:33Ninatangaza kuwa huru kwa jina la Yesu!
-
2:33 - 2:41Nitaendelea kumtumikia na kumwabudu siku zote za maisha yangu, nitamtumikia kwa mali yangu.
-
2:41 - 2:44Hiyo ndiyo ahadi yangu kwa Mungu. Amina!
-
2:44 - 2:45Asante!
-
2:45 - 3:01[♪ Music ♪]
- Title:
- NINI KINAFANYA MAOMBI NA IBADA KUWA NA NGUVU HIVYO? UKIRI WA SHETANI!!!
- Description:
-
Si vizuizi vyote ni vya asili—vingine vina mizizi ya kiroho.
Mwanamke huyu alikuwa na ufaulu wa hali ya juu, akiongoza miradi mikubwa ya serikali, lakini haijalishi alitimiza kiasi gani, kushindwa na kufadhaika kulimfuata.
Kitu kisichoonekana kilikuwa kikifanya kazi dhidi ya mafanikio yake.
Kutafuta majibu, alisafiri hadi CCOAN - Thesalonike, ambapo chanzo cha kweli cha matatizo yake kilifichuliwa wakati wa maombi.
Kama Isaya 54:17 inavyotukumbusha, "Kila silaha itakayofanyika juu yako haitafanikiwa." Mungu anapoingia, hakuna upinzani unaoweza kusimama!
Nguvu zake zilete ushindi katika maisha yako unapotazama!
- Video Language:
- English
- Duration:
- 03:01
![]() |
Dr.Patrick-Musasa edited Swahili subtitles for CCOAN Thessalonica Ms Anita Mudayara Deliverance 2024 08 25 V2, MoG Javier V3 | |
![]() |
Dr.Patrick-Musasa edited Swahili subtitles for CCOAN Thessalonica Ms Anita Mudayara Deliverance 2024 08 25 V2, MoG Javier V3 | |
![]() |
Dr.Patrick-Musasa edited Swahili subtitles for CCOAN Thessalonica Ms Anita Mudayara Deliverance 2024 08 25 V2, MoG Javier V3 | |
![]() |
Dr.Patrick-Musasa edited Swahili subtitles for CCOAN Thessalonica Ms Anita Mudayara Deliverance 2024 08 25 V2, MoG Javier V3 | |
![]() |
Dr.Patrick-Musasa edited Swahili subtitles for CCOAN Thessalonica Ms Anita Mudayara Deliverance 2024 08 25 V2, MoG Javier V3 | |
![]() |
Dr.Patrick-Musasa edited Swahili subtitles for CCOAN Thessalonica Ms Anita Mudayara Deliverance 2024 08 25 V2, MoG Javier V3 |