-
-
Tuliulizwa, kigawe kipi cha ushirika ni kikubwa
-
kati ya 20 na 40?
-
Wanasema, njia nyingine ya kusema
-
iki ni KKS, kigawe kikubwa cha ushirika, cha 20 na cha 40
-
ni sawa na alama ya ulizo.
-
Na kigawe kikubwa cha ushirika ni kama kitu kipya,
-
lakini ni sawa na kusema, ipi
-
ni namba kubwa inayogawanyika kwa 20 na 40?
-
Hii inaonekana kama njia nzuri,
-
kwa sababu 20 inagawanyika kwa 40.
-
Au njia nyingine tunasema 40 ina
-
gawanyika kwa 20 pasipo kubaki.
-
Hivyo namba kubwa ni
-
fikiri unaweza sema,kigao cha 20 na 40 ni sawa na 20
-
20 ni 20 mara 1, na 40 ni 20 mara 2.
-
Kwa hii njia, hatuwezi
-
kuvunja namba.
-
Tunaandika 20.
-
Tufanye mifano zaidi.
-
Tumeulizwa, kipi ni kigawe kikubwa cha ushirika
-
cha 10 na 7?
-
Ngoja tuvunje hii.
-
Kigawe cha kikubwa cha ushirika cha 10 na 7.
-
Ngoja tuandike.
-
Tuna 10.
-
Tufikiri kuhusu KKS ya 10 na 7 ni kipi?
-
Kuna njia mbili za kufanya hii.
-
Kwanza, kimsingi tuorotheshe vigawe
-
sio kigawe tasa, ni cha kawaida, cha kila
-
hizi namba na kubainisha kipi ni kikubwa
-
au kipi ni kigawe kikubwa cha vyote.
-
Kwa mfano, nina 10,
-
na 10 inaweza kuwakilisha 1 mara 10 au 2 mara 5.
-
1, 2, 5, na 10.
-
Hivi ni vigawe vya 10.
-
Hivi vyote, tunaviita, vishirika vya 10.
-
Na wakati mwingine tunaita vigawe vikubwa vya ushirika.
-
Saba, vipi vigawe vyake?
-
7 ni tasa.
-
Ina vigawe viwili, 1 na chenyewe.
-
Hivyo kipi ni kigawe kikubwa cha ushirika ?
-
Kuna kigawe kimoja cha ushirika, 1.
-
1 ni kigawe cha ushirika.
-
Hivyo kigawe kikubwa cha 10 na 7,
-
au kigawe kikubwa cha mgawanyo, ni sawa na 1.
-
Ngoja tuandike.
-
1.
-
Tufanye mwingine.
-
Kipi ni kigawe kikubwa cha mgawanyo wa 21 na 30?
-
Hii ni namna nyingine ya kusema.
-
Hivyo 21 na 30 ni namba tutakazoziangalia.
-
Hivyo tunachambua kigawe kikubwa cha mgawanyo,
-
na nitaandika kigawe kikubwa cha ushirika
-
cha 21 na 30.
-
Kwanza, kuna njia mbili za kufanya hii.
-
Njia tuliyoifanya awali ni ya msingi
-
orodhesha vigawe vyote.
-
Ngoja nifanye kwa haraka.
-
Hivyo kama nitasema 21, vipi ni vigawe vyake?
-
Ni 1 na 21, 3 na 7.
-
Nafikiri nimevipata vyote.
-
Na 30 inaweza kuandikwa kama 1 na 30, 2 na 15 na 3.
-
Nitavipitia vyote.
-
Ngoja niandike ivi ili nipate nafasi.
-
Hivyo 1 na 30.
-
2 na 15.
-
3 na 10.
-
Na 5 na 6.
-
Hivi ni vigawe vya 30.
-
Kipi ni kigawe cha ushirika?
-
1 ni kigawe cha ushirika.
-
3 pia ni kigawe cha ushirika.
-
Lakini kipi ni kigawe kikubwa cha ushirika au
-
au kigawe kikubwa cha mgawanyo?
-
Ni 3.
-
Tuandike 3 hapa.
-
Sasa, ngoja niongelee mbinu nyingine.
-
Ngoja nionyeshe mbinu nyingine,
-
na itahusisha vigawe tasa.
-
Hivyo kama ukisema vigawe tasa vya 21,
-
Tuone, kama inagawika kwa 3.
-
Ni 3 mara 7.
-
Na namba tasa ya 30 ni sawa na 3
-
mara 10, na 10 ni 2 mara 5.
-
Vipi ni vigawe ambavyo
-
tutavipata kwenye 21 na 30 kuweka
-
namba kubwa?
-
Tunapoangalia vigawe tasa,
-
kitu cha muhimu kilichopo hapa ni 3.
-
Na hivyo tutasema kigawe kikubwa cha ushirika
-
au kigawe kikubwa cha mgawanyo wa 21 na 30 ni 3.
-
Kama ujaona chochote hapa,
-
utasema kigawe kikubwa cha mgawanyo ni moja.
-
Ngoja nikupe mfano mwingine,
-
utakupa mwanga.
-
Ngoja tuseme izi namba mbili sio 21 na 30,
-
lakini tuzingatie kigawe kikubwa cha mgawanyo sio
-
cha 21, ngoja tuseme ni 105 na 30.
-
-
Kama umetumia njia ya vigawe tasa,
-
Utakuwa umepata mwanga sasa.
-
Tunachofanya apa, vipi ni vigawe vya 105
-
inaweza kuwa ngumu, lakini
-
kufanya vigawe tasa, unaweza kusema ngoja tuone,
-
105 inagawanyika kwa 5.
-
Hivyo ni 5 mara 21, ma 21 ni 3 mara 7.
-
Hivyo namba tasa ya 105
-
ni sawa 3 mara
-
5 mara 7.
-
Vigawe tasa vya 30, tumeshaviona
-
ni 30 ambayo ni sawa na 2 mara 3 mara 5.
-
Hivyo ipi ni namba ya vigawe
-
au vigawe tasa kwa pamoja?
-
Hizi zote zina 3, na pia zina 5.
-
Hivyo kigawe kikubwa cha mgawanyo
-
ni zao za izi mbili.
-
Hivyo, KKS ya 105 na 30
-
ni 3 mara 5, ni sawa na 15.
-
Unaweza kufanya kwa njia nyingine.
-
Unaorodhesha mgawanyo au vigawe vya asili
-
na, kuonyesha kipi ni
-
cha ushirika na kikubwa.
-
Au kupanga kwenye makundi,
-
namba tasa, na baadae fikiri
-
kipi ni kigawe kikubwa cha ushrika cha namba tasa,
-
na jibu lako linaenda
-
kuwa kigawe kikubwa cha ushirika.
-
Ni namba kubwa ambayo inagawanyika kwa namba zote.
-