Na iwe NURU!!! | MAOMBI YA UKOMBOZI
-
0:00 - 0:08Wewe shetani - popote unapofanya kazi - lazima uondoke leo.
-
0:08 - 0:12Ninakuamuru uondoke na utumwa wako!
-
0:12 - 0:14Ondoka na ndoto zako mbaya!
-
0:14 - 0:16Ondoka na mateso yako!
-
0:16 - 0:18Ondoka na ulevi wako!
-
0:18 - 0:23Lazima uondoke kwa jina kuu la Yesu!
-
0:23 - 0:26Mwamuru huyo shetani aondoke katika maisha yako sasa hivi!
-
0:26 - 0:29Mwamuru huyo shetani aondoke kwenye familia yako!
-
0:29 - 0:32Mwamuru huyo shetani aondoke nyumbani kwako!
-
0:32 - 0:35Mwamuru huyo shetani aondoke kwenye ndoa yako!
-
0:35 - 0:38Je, unakabiliwa na wakati wa giza?
-
0:38 - 0:41Wewe si wa giza.
-
0:41 - 0:44Wewe ni wa Yesu Kristo.
-
0:44 - 0:49Je, hilo giza linaingilia maisha yako wapi?
-
0:49 - 0:56Hebu iwe na NURU!
-
0:56 - 0:58Pokea NURU nyumbani kwako!
-
0:58 - 1:01Pokea NURU katika familia yako!
-
1:01 - 1:03Pokea NURU katika afya yako!
-
1:03 - 1:05Pokea NURU kwenye ndoa yako!
-
1:05 - 1:08Pokea MWANGA katika kazi yako!
-
1:08 - 1:10Hebu iwe na NURU!
- Title:
- Na iwe NURU!!! | MAOMBI YA UKOMBOZI
- Description:
-
- Video Language:
- English
- Team:
God's Heart TV
- Duration:
- 01:10
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for Let there be LIGHT!!! | PRAYER for DELIVERANCE | |
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for Let there be LIGHT!!! | PRAYER for DELIVERANCE | |
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for Let there be LIGHT!!! | PRAYER for DELIVERANCE | |
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for Let there be LIGHT!!! | PRAYER for DELIVERANCE |