Mungu anaweza kutengeneza njia mahali pasipo na njia lakini...
-
0:00 - 0:06Mungu anaweza kutengeneza njia mahali pasipo na njia.
-
0:06 - 0:20Lakini fahamuni kwamba hatakutengenezeeni njia itakayokuondoa kwake.
-
0:20 - 0:23Fikirini juu ya hilo enyi watu wa Mungu.
-
0:23 - 0:34Tunamtumikia Mungu wa ajabu ambaye anaweza kutengeneza njia mahali pasipo na njia.
-
0:34 - 0:37Hakuna lisilowezekana Kwake.
-
0:37 - 0:49Lakini hatakufanyieni njia itakayo kuondosha kwake.
-
0:49 - 1:00Mungu hatakutengenezea njia itakayokutoa nje ya njia zake.
- Title:
- Mungu anaweza kutengeneza njia mahali pasipo na njia lakini...
- Description:
-
- Video Language:
- English
- Team:
- God's Heart TV
- Duration:
- 01:00
georgejbudeba edited Swahili subtitles for God can make a way where there seems to be no way but… | ||
georgejbudeba edited Swahili subtitles for God can make a way where there seems to be no way but… | ||
georgejbudeba edited Swahili subtitles for God can make a way where there seems to be no way but… |