Mungu hatakuruhusu UBEBE kile ambacho hajaahidi KUKUBEBA juu yake!
-
0:00 - 0:13Jinsi unavyofika huko ni muhimu zaidi kuliko kile unachopata huko.
-
0:13 - 0:21Maumivu ya mchakato ni muhimu kwa thamani ya maendeleo.
-
0:21 - 0:31Masomo ya kushindwa ni muhimu kwa ajili ya baraka za mafanikio.
-
0:31 - 0:37Ukiruka tu kuendelea bila kufuata mchakato sahihi,
-
0:37 - 0:43watakuwa mzigo zaidi kuliko baraka.
-
0:43 - 0:52Kwa hiyo watu wa Mungu, jua hili.
-
0:52 - 0:59Kama mtoto wa Mungu, kama Mkristo,
-
0:59 - 1:03Mungu hatakuruhusu kubeba
-
1:03 - 1:10ambayo hajaahidi kukubeba.
-
1:10 - 1:13Ahadi yake si kukuona tu.
-
1:13 - 1:20Ahadi yake ni kukufundisha, kukukomaza, kukuandaa kupitia hilo,
-
1:20 - 1:27na utatoka katika mapambano yako na nguvu zaidi.
- Title:
- Mungu hatakuruhusu UBEBE kile ambacho hajaahidi KUKUBEBA juu yake!
- Description:
-
- Video Language:
- English
- Team:
God's Heart TV
- Duration:
- 01:27
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for God will not permit you to CARRY what He has not promised to CARRY YOU through! | |
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for God will not permit you to CARRY what He has not promised to CARRY YOU through! | |
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for God will not permit you to CARRY what He has not promised to CARRY YOU through! |