< Return to Video

Mungu hatakuruhusu UBEBE kile ambacho hajaahidi KUKUBEBA juu yake!

  • 0:00 - 0:13
    Jinsi unavyofika huko ni muhimu zaidi kuliko kile unachopata huko.
  • 0:13 - 0:21
    Maumivu ya mchakato ni muhimu kwa thamani ya maendeleo.
  • 0:21 - 0:31
    Masomo ya kushindwa ni muhimu kwa ajili ya baraka za mafanikio.
  • 0:31 - 0:37
    Ukirukia tu kuendelea bila kufuata mchakato sahihi,
  • 0:37 - 0:43
    itakuwa mzigo zaidi kuliko baraka.
  • 0:43 - 0:52
    Kwa hiyo watu wa Mungu, jua hili.
  • 0:52 - 0:59
    Kama mtoto wa Mungu, kama Mkristo,
  • 0:59 - 1:03
    Mungu hatakuruhusu kubeba
  • 1:03 - 1:10
    ambayo hajaahidi kukubeba juu yake.
  • 1:10 - 1:13
    Ahadi yake si kukuonekania tu.
  • 1:13 - 1:20
    Ahadi yake ni kukufundisha, kukukomaza, kukuandaa kupitia hilo,
  • 1:20 - 1:27
    na utatoka katika mapambano yako na nguvu zaidi.
Title:
Mungu hatakuruhusu UBEBE kile ambacho hajaahidi KUKUBEBA juu yake!
Description:

"Jinsi unavyofika huko ni muhimu zaidi kuliko kile unachokipata huko. Maumivu ya mchakato ni muhimu kwa thamani ya maendeleo. Masomo ya kushindwa ni muhimu kwa baraka za mafanikio. Ukirukia tu kuendelea bila kufuata mchakato sahihi, itakuwa mzigo zaidi kuliko baraka. Kama Mkristo, Mungu hatakuruhusu kubeba kile ambacho hajaahidi kukubeba juu yake. Ahadi yake sio tu kukuonekania juu ya hilo . Ahadi yake ni kukufundisha, kukukomaza, kukutayarisha kupitia hilo, na utatoka katika mapambano yako ukiwa na nguvu zaidi.”

Unaweza kutazama mahubiri kamili kutoka kwa Ndugu Chris hapa - https://www.youtube.com/watch?v=rjcJyf3Sfnk

more » « less
Video Language:
English
Team:
God's Heart TV
Duration:
01:27

Swahili subtitles

Revisions Compare revisions