Mungu HAJAKUAHIDI faraja; Ameahidi kukufariji!
-
0:00 - 0:07Waumini wengi leo kimakosa wanafikiri kwamba ahadi ya Mungu
-
0:07 - 0:13ni kwa ajili yao tu kufurahia maisha ya starehe,
-
0:13 - 0:21kana kwamba thamani yetu maishani kwa namna fulani imefungamana na viwango vyetu vya faraja.
-
0:21 - 0:27Hapana! Ngoja niwaambie, watu wa Mungu.
-
0:27 - 0:38Mungu hajakuahidi faraja; Ameahidi kukufariji.
-
0:38 - 0:47Soma kile ambacho Biblia inasema katika 2 Wakorintho 1:3-4.
-
0:47 - 0:53Mungu wetu wa faraja yote - ahadi yake ni kutufariji,
-
0:53 - 1:00kuzifariji roho zetu hata tunapokumbana na dhiki katika miili yetu.
-
1:00 - 1:04Mungu hajawahi kuahidi safari itakuwa ya starehe.
-
1:04 - 1:09Aliahidi kutufariji katika safari, ndani ya safari.
-
1:09 - 1:16Safari hiyo iwe katika nyakati nzuri au katika nyakati ngumu,
-
1:16 - 1:20ikiwa unakabiliwa na nyakati za faraja au usumbufu,
-
1:20 - 1:27Ahadi yake ni kukufariji, kuwa pamoja nawe.
-
1:27 - 1:33Watu wa Mungu, ngoja niwaambie.
-
1:33 - 1:41Wakati mwingine, faraja nyingi inaweza kuwa hatari.
-
1:41 - 1:45Kama upo kwenye starehe nyingi sana , kuwa makini.
-
1:45 - 1:54Kwa sababu faraja mara nyingi huja kwa gharama ya tabia.
-
1:54 - 2:00Tabia hughushiwa katika tanuru ya mateso.
-
2:00 - 2:11Inachukua ufunuo kutoka juu ili kutambua maumivu ambayo yanakusogeza karibu na Mungu,
-
2:11 - 2:15ni ya thamani zaidi kuliko faraja inayokuweka mbali naye.
- Title:
- Mungu HAJAKUAHIDI faraja; Ameahidi kukufariji!
- Description:
-
“Waumini wengi leo wanafikiri kimakosa kwamba ahadi ya Mungu ni kwa ajili yao tu kufurahia maisha ya starehe, kana kwamba thamani yetu maishani imehusishwa kwa njia fulani na viwango vyetu vya starehe. Hapana! Niwaambieni watu wa Mungu. Mungu hajakuahidi faraja; Ameahidi kukufariji. Soma kile ambacho Biblia inasema katika 2 Wakorintho 1:3-4. Mungu wetu wa faraja yote – ahadi yake ni kutufariji, kuzifariji roho zetu hata tunapokumbana na dhiki katika miili yetu. Mungu hajawahi kuahidi safari itakuwa ya starehe. Aliahidi kutufariji katika safari, ndani ya safari. Safari hiyo iwe katika nyakati nzuri au katika nyakati ngumu, iwe unakumbana na nyakati za raha au usumbufu, ahadi yake ni kukufariji, kuwa nawe. Watu wa Mungu, ngoja niwaambie. Wakati mwingine, starehe nyingi inaweza kuwa hatari. Ikiwa upo kwenye starehe nyingi sana, kuwa makini. Kwa sababu faraja mara nyingi huja kwa gharama ya tabia. Tabia hughushiwa katika tanuru ya mateso. Inahitaji ufunuo kutoka juu kutambua kwamba uchungu unaokusogeza karibu na Mungu, ni wa thamani zaidi kuliko faraja inayokuweka mbali naye.”
Unaweza kutazama ujumbe kamili kutoka kwa Ndugu Chris hapa - https://www.youtube.com/watch?v=rjcJyf3Sfnk
- Video Language:
- English
- Team:
God's Heart TV
- Duration:
- 02:16
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for God has NOT promised you comfort; He has promised to comfort you! | |
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for God has NOT promised you comfort; He has promised to comfort you! | |
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for God has NOT promised you comfort; He has promised to comfort you! | |
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for God has NOT promised you comfort; He has promised to comfort you! |