< Return to Video

Katika 2025, VIKWAZO vyako vitabadilishwa kuwa MIUJIZA!

  • 0:00 - 0:13
    Mwaka huu wa 2025, unapotumia wakati wa kila siku na Mungu,
  • 0:13 - 0:20
    utaona utukufu wa Mungu katika simulizi la maisha yako.
  • 0:20 - 0:26
    Vikwazo vyako vitabadilishwa kuwa miujiza.
  • 0:26 - 0:31
    Ucheleweshaji wako utatoa njia ya maendeleo.
  • 0:31 - 0:37
    Maumivu yako yatakuweka katika nafasi ya kupandishwa cheo.
  • 0:37 - 0:43
    Na ushuhuda wako utakuwa na matokeo na wenye mafunzo
  • 0:43 - 0:45
    katika kuwaleta watu wengi kwa Kristo.
  • 0:45 - 0:49
    Hivi sasa, ikiwa unaamini hilo kwa moyo wako wote,
  • 0:49 - 0:59
    nisikie sauti yako huku UKISHANGILIA!
Title:
Katika 2025, VIKWAZO vyako vitabadilishwa kuwa MIUJIZA!
Description:

“Mwaka huu wa 2025, unapotumia muda wa kila siku na Mungu, utaona utukufu wa Mungu katika simulizi yako ya maisha. Vikwazo vyako vitabadilishwa kuwa miujiza. Ucheleweshaji wako utatoa njia ya kupandishwa cheo. Maumivu yako yatakuweka nafasi ya kustawi. Na shuhuda zako zitakuwa na athari na elimu katika kuwaleta watu wengi kwa Kristo. Sasa hivi, ikiwa unaamini hilo kwa moyo wako wote, acha nisikie sauti yako huku UKISHANGILIA!”

Unaweza kutazama maombi kamili ya 2025 na Ndugu Chris hapa - https://www.youtube.com/watch?v=I1ghGx8kIig

more » « less
Video Language:
English
Team:
God's Heart TV
Duration:
01:00

Swahili subtitles

Revisions Compare revisions