Wewe uko vile MUNGU asemavyo kukuhusu! Una kile ambacho MUNGU anasema unacho! Unaweza kufanya kile ambacho MUNGU anasema unaweza kufanya!
-
0:00 - 0:05Watu unaovaa ili kuwavutia sio wamiliki wa maisha yako ya baadaye.
-
0:05 - 0:10Watu unaojitahidi kuwafurahisha hawashikilii hatima yako.
-
0:10 - 0:22Ukweli ni kwamba thamani yako, thamani yako haiamuliwi na jinsi unavyoonekana au watu wanasemaje kukuhusu.
-
0:22 - 0:31Wewe ni vile Mungu anasema ulivyo. Una kile ambacho Mungu anasema unacho. Na unaweza kufanya kile ambacho Mungu anasema unaweza kufanya!
- Title:
- Wewe uko vile MUNGU asemavyo kukuhusu! Una kile ambacho MUNGU anasema unacho! Unaweza kufanya kile ambacho MUNGU anasema unaweza kufanya!
- Description:
-
- Video Language:
- English
- Team:
God's Heart TV
- Duration:
- 0:31