< Return to Video

Wewe uko vile MUNGU asemavyo kukuhusu! Una kile ambacho MUNGU anasema unacho! Unaweza kufanya kile ambacho MUNGU anasema unaweza kufanya!

  • 0:00 - 0:05
    Watu unaovaa ili kuwavutia kwa mavazi yako sio wamiliki wa maisha yako ya baadaye.
  • 0:05 - 0:10
    Watu unaojitahidi kuwafurahisha hawashikilii hatima yako.
  • 0:10 - 0:22
    Ukweli ni kwamba thamani yako haiamuliwi na jinsi unavyoonekana au watu wanakusemaje.
  • 0:22 - 0:31
    Wewe uko vile Mungu anasemavyo juu yako. Una kile ambacho Mungu anasema unacho. Na unaweza kufanya kile ambacho Mungu anasema unaweza kufanya!
Title:
Wewe uko vile MUNGU asemavyo kukuhusu! Una kile ambacho MUNGU anasema unacho! Unaweza kufanya kile ambacho MUNGU anasema unaweza kufanya!
Description:

“Watu unaowavalia ili kuwavutia sio wamiliki wa maisha yako ya baadaye, watu unaojitahidi kuwafurahisha hawashikilii hatima yako, ukweli ni kwamba thamani yako haiamuliwi na jinsi unavyoonekana au watu wanasemaje juu yako. Uko vile Mungu asemavyo kukuhusu. una kile ambacho Mungu anasema unacho, na unaweza kufanya kile ambacho Mungu anasema unaweza kufanya. - Ndugu Chris

➡️ Pata Kutiwa Moyo Kila Siku kwenye WhatsApp - https://godsheart.tv/whatsapp/
➡️ Saidia TV ya Moyo wa Mungu kifedha - https://godsheart.tv/financial/
➡️ Habari kuhusu Maombi ya Mwingiliano - https://godsheart.tv/interactive-prayer/
➡️ Jitolee kama Mtafsiri wa TV ya Moyo wa Mungu - https://godsheart.tv/translate/
➡️ Shirikisha ushuhuda wako - https://godsheart.tv/testimony
➡️ Jiunge na Ibada yetu ya Maombi ya Moja kwa Moja Jumamosi ya kwanza ya kila mwezi - https://www.youtube.com/godshearttv/live

more » « less
Video Language:
English
Team:
God's Heart TV
Duration:
0:31

Swahili subtitles

Revisions Compare revisions