Jinsi ya KUBADILI Maisha Yako Mwaka 2024!!!
-
0:00 - 0:06kilicho muhimu ukijiandalia 2024
-
0:06 - 0:10inaanza na kuuchunguza siku
-
0:10 - 0:14kutoka leo hii
-
0:14 - 0:19kwa sababu haijalishi ukuu wa mielekeo yetu
-
0:19 - 0:23ama mipango jua hii
-
0:23 - 0:29maisha yako haitabadilika mwaka wa 2924
-
0:29 - 0:36ila tu ubadilishe mambo ufanyayo kila siku
-
0:36 - 0:42kuwa na bidii mwka wa 2024
-
0:42 - 0:46kaa imara leo
-
0:46 - 0:50ukajitayarishe kwa yale mambo hujaweza kujitayarisha nayo
-
0:50 - 0:55mwaka wa 2024 jali hii siku ya leo
-
0:55 - 0:59kwa kuwa leo ni yako
- Title:
- Jinsi ya KUBADILI Maisha Yako Mwaka 2024!!!
- Description:
-
- Video Language:
- English
- Team:
- God's Heart TV
- Duration:
- 01:00
Stephenmigwi edited Swahili subtitles for How To CHANGE Your Life In 2024!!! | ||
Stephenmigwi edited Swahili subtitles for How To CHANGE Your Life In 2024!!! | ||
Josephinechepkorir edited Swahili subtitles for How To CHANGE Your Life In 2024!!! |