< Return to Video

NILIPATA UPONYAJI WA KIMUUJIZA!

  • 0:00 - 0:11
    Ugonjwa huo wa kurithi katika damu yako, mifupa, misuli, viungo, uwezo wako -
  • 0:11 - 0:20
    Nazungumza hivi sasa na ile laana ya kizazi yenye mateso inayoikumba familia yako.
  • 0:20 - 0:27
    Vunjika kwa jina la Yesu!
  • 0:27 - 0:32
    Salamu katika jina zuri la Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristo.
  • 0:32 - 0:36
    Jina langu ni Patricia kutoka Afrika Kusini.
  • 0:36 - 0:40
    Ninajisikia kubarikiwa kushiriki ushuhuda wangu wa
  • 0:40 - 0:47
    Nguvu ya Mungu ya uponyaji na uaminifu katika maisha yangu.
  • 0:47 - 0:51
    Hivi majuzi nilituma ombi la maombi kwa TV ya Moyo wa Mungu.
  • 0:51 - 1:00
    Kwa miaka mingi, nimekuwa nijiugua maumivu ya mgongo na uti wa mgongo kwa sababu ya operesheni tatu za upasuaji.
  • 1:00 - 1:07
    Upasuaji wa mwisho ulikuwa 2020 na ulikuwa na athari kubwa,
  • 1:07 - 1:13
    kuniacha na maumivu ya kichwa na maumivu yasiyovumilika.
  • 1:13 - 1:15
    Baada ya kuruhusiwa kutoka hospitalini,
  • 1:15 - 1:23
    Nilipambana na maumivu yanayoendelea, kukosa usingizi na uwezo mdogo wa kujongea.
  • 1:23 - 1:30
    Kazi rahisi kama vile kubeba vitu vizito zikawa changamoto kwangu.
  • 1:30 - 1:34
    Baada ya kushiriki katika Maombi Shirikishi
  • 1:34 - 1:40
    mnamo Desemba 7 na Ndugu Chris,
  • 1:40 - 1:44
    Nilipata uponyaji wa kimuujiza.
  • 1:44 - 1:50
    Maumivu yalitoweka, na sasa ninaweza kulala kwa raha
  • 1:50 - 1:57
    kwa mto na kufurahia usiku wa utulivu bila kuamka kwa maumivu.
  • 1:57 - 2:00
    Kwa sababu hapo awali, nilikuwa nalala ...
  • 2:00 - 2:07
    Kwa takriban miaka mitano, nilikuwa nikilala bila mto kwa sababu ya maumivu.
  • 2:07 - 2:11
    Namtukuza Mungu kwa mafanikio haya ya ajabu.
  • 2:11 - 2:15
    Kwa wale wanaongojea mguso wa Mungu maishani mwao,
  • 2:15 - 2:19
    Ninakuhimiza - usikate tamaa.
  • 2:19 - 2:29
    Endelea kuomba, endelea kumtegemea Mungu na endelea kuamini wema wa Mungu.
  • 2:29 - 2:35
    Ikiwa amenifanyia mimi, bila shaka anaweza kukufanyia.
  • 2:35 - 2:40
    Asante, TV ya Moyo wa Mungu na Ndugu Chris,
  • 2:40 - 2:49
    kwa kuwa chombo cha upendo wa Mungu na kumruhusu aguse maisha yetu kupitia wewe.
  • 2:49 - 2:53
    Mungu aendelee kuwaongoza na kuwatia nguvu
  • 2:53 - 2:58
    na awatumie sana kama watumishi wake waaminifu.
  • 2:58 - 2:59
    Asante.
Title:
NILIPATA UPONYAJI WA KIMUUJIZA!
Description:

“Salamu katika jina la ajabu la Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristo. Jina langu ni Patricia kutoka Afrika Kusini. Ninajisikia kubarikiwa kushiriki ushuhuda wangu wa nguvu za uponyaji za Mungu na uaminifu katika maisha yangu. Hivi majuzi nilituma ombi la maombi kwa TV ya Moyo wa Mungu. Kwa miaka mingi, nimekuwa nikiugua maumivu ya mgongo na uti wa mgongo kwa sababu ya uzazi kwa njia ya upasuaji kwa safari tatui. Upasuaji wa mwisho ulikuwa mwaka wa 2020 na ulikuwa na athari kubwa, ukiniacha na maumivu ya kichwa na maumivu yasiyovumilika. Baada ya kuruhusiwa kutoka hospitalini, nilitatizika na maumivu yanayoendelea, kukosa usingizi na kutembea kwa shidao. Kazi rahisi kama vile kubeba vitu vizito zikawa changamoto kwangu. Baada ya kushiriki katika Maombi Shirikishi mnamo Desemba 7 na Ndugu Chris, nilipata uponyaji wa kimuujiza. Maumivu yalitoweka, na sasa ninaweza kulala kwa raha na mto na kufurahia usiku wenye utulivu bila kuamka kwa maumivu. Kwa takriban miaka mitano, nilikuwa nikilala bila mto kwa sababu ya maumivu. Namtukuza Mungu kwa mafanikio haya ya ajabu. Kwa wale wanaongoja mguso wa Mungu maishani mwao, nawasihi - msikate tamaa. Endelea kuomba, endelea kumtegemea Mungu na endelea kuamini wema wa Mungu. Ikiwa amenifanyia mimi, bila shaka anaweza kukufanyia. Asante, God's Heart TV na Ndugu Chris, kwa kuwa chombo cha upendo wa Mungu na kumruhusu kugusa maisha yetu kupitia ninyi. Mungu aendelee kuwaongoza na kuwatia nguvu na kuwatumia zaidi kama watumishi wake waaminifu. Asante.”

Asante, Yesu Kristo! Tunakuhimiza ujiunge nasi kwa Ibada inayofuata ya Maombi ya Moja kwa Moja pamoja na Ndugu Chris mnamo Jumamosi Januari 04, 2025, ifikapo saa mbili usiku (saa za Uingereza) - https://www.youtube.com/godshearttv/live

more » « less
Video Language:
English
Team:
God's Heart TV
Duration:
03:00

Swahili subtitles

Revisions Compare revisions