-
Hii ni chanjo mpya ya COVID-19
ya dozi moja kutoka Johnson & Johnson
-
katika mapema ya Machi,
zaidi ya dozi 6,000
-
zilipaswa kusafiriswa
kwa wakazi wa jiji la Detroit,Michigan
-
Lakini meya alisema"Hapana asante"
-
"Moderna na Pfizer ndio bora
-
na niko tayari kufanya kila ninaweza
-
kuhakikisha wakazi
wa jiji la detroit wanapata iliyo bora."
-
alikuwa akirejea tarakwimu hizi:
viwango vya ufanisi wa chanjo
-
Chanjo ya Pflizer/BioNTech na Moderna
-
Zina viwango vya ufanisi
wa hali ya juu saana:
-
Asilimia 95 na 94
-
lakini kwa hiyo ya Johnson & Johnson
-
kiwango chake ni asilimia 66 pekee
-
na ikiwa unatazama hizi takwimu hizi pekee
ni kawaida kufikiria kuwa chanjo hizi
-
ni mbaya kuliko hizi
-
Lakini dhana niyo si sahihi
-
Hizi takwimu
labda si kipimo kikuu
-
Cha jinsi chanjo hizi zinafanya kazi
-
Ili kuelewa ni nini,
-
Kwanza inapaswa kuelewa ni
nini chanjo inapaswa kufanya.
-
Kiwango cha ufanisi wa chanjo hupimwa
katika majaribio makubwa ya kliniki
-
Wakati chanjo inajaribiwa
kwa maelfu ya watu
-
Watu hao wanagawanywa
katika vikundi viwili;
-
nusu wanapata chanjo,
na nusu wanapata chanjo bandia
-
Kisha wanatolewa kuendelea na maisha yao.
-
wakati wanasayansi wanafuatilia ikiwa
watapata COVID-19 au la kwa miezi kadhaa
-
Katika majaribio ya Pfizer-BioNTech,
mfano kulikuwa na washiriki 43,000.
-
mwishowe watu 170 waliopata maambukizo ya
ya COVID-19,
-
Na jinsi watu hao
wanavyojumuishwa katika kila kundi
-
inaamua ufanisi wa chanjo
-
ikiwa 170 wangegawanywa sawa
-
hiyo ingemaanisha una nafasi
sawa ya kuugua na chanjo
-
kama bila ya hiyo.
-
kwa hivyo ingekuwa na ufanisi wa 0%
-
Ikiwa watu wote 170 walikuwa katika kundi
la kidonge bandia na hakuna aliyeugua
-
ingekuwa na ufanisi wa asilimia 100.
-
Katika majaribio haya maalum kulikuwa
na 162 katika kundi la kidonge bandia
-
na 8 tu katika kundi la chanjo
-
Inamaanisha walio pata chanjo walikuwa na
nafasi asilimia 95 ndogo kuugua
-
Chanjo ilikuwa na ufanisi wa asilimia 95
-
hii haimaanishi ikiwa watu 100 wanapata
chanjo ,5 kati yao watapata maambukizo
-
badala yake ,asilimia 95
inatumika kwa mtu binafsi
-
kwa hivyo kila mtu aliyechanjwa
-
ana nafasi asilimia 95 ndogo kuliko mtu
asiye na chanjo kupata maambukizo
-
kila muda wanapokutana na virusi vya covid 19
-
-
na kila ufanisi wa chanjo unahesabiwa kwa jinsi hiyo
-
lakini kila uchanganuzi wa chanjo unaeza fanya kwa jinsi fofauti
-
kwa hivyo suluhisho kubwa kabisa hapa
-
ni wakati ambao
majaribio ya kliniki yalifanywa
-
hii ni idadi ya kesi za COVID-19 nchini
marekani tangu jangahilo lilipoanza
-
majaribio ya moderna yalifanywa kabisa
nchini marekani wakati wa kiangazi
-
majaribio ya pfizer-BioNTech yalikuwa
nchini marekani pia mwanzoni
-
na wakati huo huo
-
walakini,Johnson & Johnson,walifanya
majaribio yao nchini marekani wakati huo
-
wakati kulikuwa na fursa zaidi
-
ili washiriki waweze
kuwa wazi kwa maambukizo
-
na majaribio mengi
yalifanyika katika nchi nyingine
-
kwa kiasi kikubwa South Africa and Brazil
-
Na katika nchi nyingine hizi,
sio tu viwango vya kesi vilikuwa juu,
-
lakini virusi yenyewe ilikuwa tofauti
-
majaribio yalifanyika wakati
aina mpya za COVID-19 zilipojitokeza
-
na kuwa maambukizo makuu katika nchi hizi
-
aina za virusi ambazo zina nafasi kubwa
zaidi ya kuumbukiza washiriki
-
nchini africa kusini keshi nyingi katika
majaribio ya johnson johnson zilikuwa
-
zaan
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
Swali sio chanjo ipi itakayokulinda dhidi
ya maambukizo ya COVID yoyote
-
au kutoka hospitalini?
-
Ni ipi itakayosaidia kumaliza janga?
-
Na hiyo inaweza kuwa yoyote kati yao
-
chanjo bora kwa sasa ni ile unayopewa
-
kila chanjo inayopewa kwa mtu mmoja
inatuleta karibu na mwisho wa janga hili