-
USIKIVU WA KIROHO - NDUGU CHRIS
-
neema na amani kwenu nyote katika jina kuu la yesu kristu
-
na wacha nianze kwa kuwakaribisha kwa hii mwaka wa 2024
-
asante yesu
-
Asante yesu, kwa neema kuingia mwaka huu mpya
-
hakika, kwa neema kuingia siku mpya, dakika mpya, sekunde mpya.
-
kwa sababu ya neema yake
-
na watu wa mungu, njia nzuri kujitayarisha kwa mwaka 2024
-
inaanza na kukagua kila siku, ukianza na leo
-
kwa kuwa licha ya umakini wa malengo au maazimio, jua hii
-
maisha yako haitabadilika mwaka wa 2024 ila ubadili mambo ufanyayo kila siku
-
ubakie thabiti ipite mwaka 2024, kaa thabiti leo
-
utayarishe yale vitu ambavyo hauwezi kutayarisha mwaka wa 2024, ujali juu ya leo
-
kwa kuwa leo ni yako
-
sasa leo, nataka kugawa ujumbe ambao umekua ndani ya moyo wangu
-
kwa wiki za karibu na lengo kuu la ujumbe huu ni ''USIKIVU WA KIROHO''
-
Narudia , usikivu wa kiroho
-
waona, hatari kuu iletwayo na giza imefichwa kwa kutofaulu kuweza kuijtambua
-
kwa maneno mengine wacha niseme hivi
-
kutoweza kuitambua sisi yenyewe shida ndio shida yenyewe
-
hiyo ni shida kuu kuliko chenye sisi wengine tunatambua kama shida katika maisha yetu
-
na kuwa makini, watu wa mungu
-
jambo thabiti ya kukaisha na hata kuongeza shida ni kukosa kutambua shida
-
jinsi unapokumbana na shida yako ni shida kuu zaidi yenyewe
-
nataraji utafuata hayo ninayosema watu wa mungu
-
shida tunayopitia leo imekaa kwa njia tunayokumbana na shida zetu
-
na utambue hii, kuna majaribu, shida katika safari ya maisha
-
ambayo mambo ya kindani tu yaweza kukupitisha
-
kwa kauli hii, kumbuka nilichosema kuhusu ''usikivu wa kiroho''
-
nawapeleka kwa andiko katika kitabu cha Waebrania 3
-
ndio itakua andiko kuu kwa ujumbe wetu leo - Waebrania 3:12-14
-
wacha tusome, watu wa mungu
-
''angalieni ndugu zangu, asiwepo miongoni mwenu mtu yeyote mwenye moyo wa dhambi
-
usioamini unaomfanya ajitenge na mungu wa uzima;
-
bali muonyane kila siku maadamu bado ni 'leo'
-
ili asiwepo mtu kati yenu anayefanywa mkaidi na udangayifu wa dhambi.
-
kwa kuwa tumekuwa washiriki katika kristo
-
kama twashikilia toka mwanzo ujasiri thabiti hadi mwisho
-
sasa, adui mkubwa wa kuendelea kijroho ni ugumu wa moyo
-
moyo ambao unakosa usikivu wa kiroho
-
roho ambao umetulia gizani kwa udanganyifu wa dahmbi
-
na kuwa ndani zaidi kwa udangayifu ndio zaidi giza inazidi
-
''ikiwa basi mwanga ndani yako ni giza, hiyo giza ni kuu sana
-
maneno ya yesu katika Matayo 6:23
-
kwa kuwa adui anaweza kukudanganya, hivyo anaweza kukupoteza
-
sasa, angalia karibu nawe na chenye inafanyika duniani
-
haitachukua muda kutambua madhara ya giza
-
uasi dhidi ya mungu na neno lake
-
lakini usione karibu tu . La!
-
nakuita leo uangalie ndani yako
-
kwa kuwa moyo wa uasi wetu ni uasi wa mioyo yetu
-
wakati hisi za kimwili inapopata malengo yasiyothabiti, matendo maovu hayapo mbali sana
-
lakini ukuu wa neema ya mungu
-
ni kuwa kuna nafasi toba
-
lakini zingatia, watu wa mungu
-
uwepesi wa toba yetu unaakisi kiwango ya usikivu wa kiroho
-
upinzani wa toba inaakisi ugumu wa moyo
-
sio tu kuwa sisi wakristo hatufanyi makosa
-
tunafanya. tunaweza kufanya makosa
-
lakini unapokuwa na usikivu wa kiroho ni rahisi kuutambua
-
rahisi kuitikia, rahisi kuunganisha, na rahisi kuleta toba
-
lakini ugumu wa kutoa toba inaakisi ugumu wa moyo
-
hii mara nyingi tunaona yenyewe kwa njia ya kuhalalisha dhambi moyoni
-
na kama shetani anaweza kufaulu kwa kuweka miyo yawe magumu
-
kuukubali dhambi kisiri hivi karibuni itakuwa kukubali dhambi hadharani
-
hata kufurahia dhambi hadharani
-
sio tu kwa yale tunafanya lakini kwa kile tunakosa kufanya
-
ukikosa kusimamia kwa jambo fulani basi utaangukia jambo fulani
-
nataka utafakari kwa hii - watu wa mungu
-
kupinga toba inaonyesha ugumu wa mioyo
-
na kama uangalifu hautazingatiwa, kamadhamira hautaamushwa
-
tutatoka kwa kuzingatia maovu hadi kwa kukubali maovu
-
hayo ndio shetani anataka
-
anataka sisi tubadili msimamo wetu wa mwanga
-
kwa kuwa tukiwa gizani ukweli utapinduliwa kwa urahisi
-
kibovu akiongoza walio vibovu
-
hii ndio sababu kupuuza dhambi ni jambo lenye hatari mno
-
hakuna mwelekeo wa kupunguza viwango vya mungu ikiisha vizuri
-
narudia tena, wtau wa mungu
-
hakuna njia ya kupunguza viwango kamili vya mungu vinavyoisha vizuri
-
sasa, nataka kuwapa onyo wakati huu
-
kuwa mwangalifu kwa hatia bandia
-
kama matendo yako imeongozwa na misingi nje ya neno la mungu
-
kwa misingi yaliyi nje ya utukufu wa mungu. jitahadhari!
-
shetani anapenda sana kujivaa - utakatifu, ubinafsi
-
kwa mavazi ya kuwa mzuri, kuwa mpole, na mwenye huruma
-
hayo yana mwonekano ya utakatifu lakini kukana nguvu zake mungu (timoteo wa 2 sura ya 3: 5
-
jihadhari na kutiwa hatia isiyo halali
-
msingi wa hatia wa kweli ni kwa neno na roho\
-
ni neno la mungu kama inavyoonyeshwa na roho mtakatifu, inayofichua giza
-
kwa hivyo zaidi moyo wako unaposhrikiana na neno la mungu
-
ni zaidi neno lake mungu inatamalaki moyo wako, zaidi unavyokuwa na unyeti wa kiroho
-
inaamsha, na kukuisha sauti ya dhamira ya hisi
-
na wewe leo uko jinsi ulivyo kwa sababu ya kusikia au kutosikia udhamira wako
-
uko jinsi ulivyo leo hii
-
kwa sababu ya kusikiza au kulenga sauti ya dhamira lako
-
jinsi tunavyojiingiza zaidi kwa neno la mungu ndivyo mioyo yetu yanavyokuwa wenye utiifu
-
mioyo yetu yameamushwa kwa kukua kwa dhambi
-
hivyo tu wa haraka kutubu
-
hivyo ndivyo sababu tuko wa haraka kujua yaliyo mabaya
-
na hii hutuweka, hutukinga sisi kutokana na vifungo hatari
-
tunajikuta njiani kwa udanganyifu
-
watu wa mungu, ni nini nasisitiza kwenye ujumbe huu leo?
-
dawa ya roho ngumu
-
ni kukaa ndani ya neno na maombi
-
kukaa tukiwa wenye hisia yaliyoimarika, chunga roho yako kwa mwanga wa neno la mungu
-
maombi kila siku yaweka upotovu kando
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-