< Return to Video

UNALAUMU au UNABADILIKA?

  • 0:00 - 0:11
    Ushauri wa kimwili unatuelekeza kulaumu; shauri la kimungu hutuelekeza kubadilika.
  • 0:11 - 0:19
    Nuru ya Neno la Mungu hutuelekeza kwenye maeneo ya maisha yetu
  • 0:19 - 0:21
    ambapo tunahitaji kubadilika,
  • 0:21 - 0:29
    lakini giza la dunia hii linatuelekeza kwenye mambo ambayo tunapaswa kulaumiwa.
  • 0:29 - 0:35
    Tunamlaumu mtu huyo. Tunalaumu familia yetu. Tunalaumu serikali.
  • 0:35 - 0:40
    Tunalaumu mazingira. Tunalaumu uchawi.
  • 0:40 - 0:50
    Sisi ni wepesi wa kulaumu kwa sababu mara nyingi tunapokea ushauri
  • 0:50 - 0:56
    kwa mtazamo wa kibinadamu mbele ya matatizo yetu.
  • 0:56 - 1:00
    Kuwa mwangalifu na yule unayemwamini.
Title:
UNALAUMU au UNABADILIKA?
Description:

more » « less
Video Language:
English
Team:
God's Heart TV
Duration:
01:00

Swahili subtitles

Revisions Compare revisions