< Return to Video

UNALAUMU au UNABADILIKA?

  • 0:00 - 0:11
    Ushauri wa kimwili unatuelekeza katika kulaumu; shauri la kimungu hutuelekeza kubadilika.
  • 0:11 - 0:19
    Nuru ya Neno la Mungu hutuelekeza kwenye maeneo ya maisha yetu
  • 0:19 - 0:21
    ambapo tunahitaji kubadilika,
  • 0:21 - 0:29
    lakini giza la dunia hii linatuelekeza kwenye mambo ambayo tunapaswa kulaumu.
  • 0:29 - 0:35
    Tunamlaumu mtu huyo. Tunailaumu familia yetu. Tunaliaumu serikali.
  • 0:35 - 0:40
    Tunayalaumu mazingira. Tunalaumu uchawi.
  • 0:40 - 0:50
    Sisi ni wepesi wa kulaumu kwa sababu mara nyingi tunapokea ushauri
  • 0:50 - 0:56
    kwa mtazamo wa kibinadamu mbele ya matatizo yetu.
  • 0:56 - 1:00
    Kuwa mwangalifu na yule unayemwamini.
Title:
UNALAUMU au UNABADILIKA?
Description:

"Ushauri wa kimwili hutuelekeza kwenye kulaumu; ushauri wa kimungu hutuelekeza kubadilika. Nuru ya Neno la Mungu hutuelekeza kwenye maeneo ya maisha yetu ambapo tunahitaji kubadilika, lakini giza la ulimwengu huu hutuelekeza kwenye mambo ambayo tunapaswa kulaumu. Tunamlaumu mtu huyo. Tunailaumu familia yetu. Tunailaumu serikali. Tunayalaumu mazingira. Tunalaumu uchawi. Sisi ni wepesi wa kulaumu kwa sababu mara nyingi tunapokea ushauri kutoka kwenye maoni ya kibinadamu tunapokabiliwa na shida zetu. Kuwa mwangalifu na yule unayemwamini.”

Unaweza kutazama mahubiri kamili kutoka kwa Ndugu Chris hapa - https://www.youtube.com/watch?v=etiKIKEYMHA

more » « less
Video Language:
English
Team:
God's Heart TV
Duration:
01:00

Swahili subtitles

Revisions Compare revisions