< Return to Video

SEMINA YA KWANZA KABISA YA TV YA MOYO WA MUNGU UK

  • 0:00 - 0:07
    Ninayo furaha kubwa kuwashirikisha wote kwamba TV ya Moyo wa Mungu itafanya
  • 0:07 - 0:15
    tukio letu la kwanza kabisa la huduma ya hadhara hapa Uingereza
  • 0:15 - 0:29
    Jumamosi Machi 15, 2025, katika jiji la Birmingham.
  • 0:29 - 0:38
    Jina ambalo Mungu aliweka moyoni mwangu kwa tukio la huduma hili ni hili -
  • 0:44 - 0:55
    Kama Wakristo, hatupaswi kujishusha kwenye kiwango cha ulimwengu huu tunamoishi.
  • 0:55 - 0:59
    Lazima uinuke juu ya kelele.
  • 0:59 - 1:02
    Inuka juu ya chuki.
  • 1:02 - 1:06
    Inuka juu ya kukata tamaa.
  • 1:06 - 1:09
    Inuka juu ya uvumi.
  • 1:09 - 1:16
    Inuka juu ya ulimwengu wa mihemko, ulimwengu wa hisia. Inuka juu!
  • 1:16 - 1:23
    Wacha mioyo iamke! Wakolosai 3:1-2.
  • 1:23 - 1:30
    Ikiwa Mungu ameweka moyoni mwako kuhudhuria ibada hii Birmingham -
  • 1:30 - 1:35
    itafanyika katika Ukumbi Mpya wa Bingley huko Birmingham,
  • 1:35 - 1:38
    Jumamosi, Machi 15, 2025 -
  • 1:38 - 1:45
    sasa hivi, unaweza kwenda kwenye tovuti yetu - www.godsheart.tv/uk
  • 1:45 - 1:49
    Na ninataka kusisitiza jambo muhimu sana.
  • 1:49 - 1:55
    Tukio hili - kuhudhuria ni bila malipo.
  • 1:55 - 2:00
    Kumbuka maneno ya Yesu Kristo katika Mathayo 10:8,
  • 2:00 - 2:06
    "Mmepokea bure; toeni bure."
  • 2:06 - 2:14
    Baraka za kiroho haziwezi kubadilishwa kwa vitu vya kimwili.
Title:
SEMINA YA KWANZA KABISA YA TV YA MOYO WA MUNGU UK
Description:

Jitayarishe kwa ‘Acha Mioyo Iamke’, tukio la kwanza kabisa la huduma ya umma la God’s Heart TV nchini Uingereza. Kwa neema ya Mungu, Ndugu Chris atahudumu Birmingham, Uingereza, Jumamosi tarehe 15 Machi, 2025!

“Jina ambalo Mungu aliweka moyoni mwangu kwa ajili ya tukio huduma hii ni hili - ‘Mioyo na Iamke!’ Kama Wakristo, hatupaswi kujishusha hadi kiwango cha ulimwengu huu tunamoishi. Lazima uinuke juu ya kelele. Inuka juu ya chuki. Inuka juu ya kukata tamaa. Inuka juu ya uvumi. Inuka juu ya ulimwengu wa mihemkoa, ulimwengu waa hisia. Inuka juu! Acha mioyo iinuke (Wakolosai 3:1-2).

"Ikiwa Mungu ameweka moyoni mwako kuhudhuria ibada hii katika Ukumbi wa New Bingley huko Birmingham, Jumamosi, Machi 15, 2025, unaweza kwenda kwenye tovuti yetu kwa taarifa zaidi ( https://www.godsheart.tv/uk ) Ninataka kusisitiza jambo muhimu sana. Tukio hili - kuhudhuria ni bila malipo. Kumbuka maneno ya Yesu Kristo katika Mathayo 10:8, ‘Mmepokea bure; toeni burei.’ Baraka za kiroho haziwezi kubadilishwa kwa vitu vya kimwili.”

Unaweza kutazama ujumbe kamili kutoka kwa tangazo hili - https://www.youtube.com/watch?v=XDGdXtxIvPI

more » « less
Video Language:
English
Team:
God's Heart TV
Duration:
02:28

Swahili subtitles

Revisions Compare revisions