SEMINA YA KWANZA KABISA YA TV YA MOYO WA MUNGU UK
-
0:00 - 0:07Ninayo furaha kubwa kuwashirikisha wote kwamba TV ya Moyo wa Mungu itafanya
-
0:07 - 0:15tukio letu la kwanza kabisa la huduma ya hadhara hapa Uingereza
-
0:15 - 0:29Jumamosi Machi 15, 2025, katika jiji la Birmingham.
-
0:29 - 0:38Jina ambalo Mungu aliweka moyoni mwangu kwa tukio la huduma hili ni hili -
-
0:44 - 0:55Kama Wakristo, hatupaswi kujishusha kwenye kiwango cha ulimwengu huu tunamoishi.
-
0:55 - 0:59Lazima uinuke juu ya kelele.
-
0:59 - 1:02Inuka juu ya chuki.
-
1:02 - 1:06Inuka juu ya kukata tamaa.
-
1:06 - 1:09Inuka juu ya uvumi.
-
1:09 - 1:16Inuka juu ya ulimwengu wa mihemko, ulimwengu wa hisia. Inuka juu!
-
1:16 - 1:23Wacha mioyo iamke! Wakolosai 3:1-2.
-
1:23 - 1:30Ikiwa Mungu ameweka moyoni mwako kuhudhuria ibada hii Birmingham -
-
1:30 - 1:35itafanyika katika Ukumbi Mpya wa Bingley huko Birmingham,
-
1:35 - 1:38Jumamosi, Machi 15, 2025 -
-
1:38 - 1:45sasa hivi, unaweza kwenda kwenye tovuti yetu - www.godsheart.tv/uk
-
1:45 - 1:49Na ninataka kusisitiza jambo muhimu sana.
-
1:49 - 1:55Tukio hili - kuhudhuria ni bila malipo.
-
1:55 - 2:00Kumbuka maneno ya Yesu Kristo katika Mathayo 10:8,
-
2:00 - 2:06"Mmepokea bure; toeni bure."
-
2:06 - 2:14Baraka za kiroho haziwezi kubadilishwa kwa vitu vya kimwili.
- Title:
- SEMINA YA KWANZA KABISA YA TV YA MOYO WA MUNGU UK
- Description:
-
Jitayarishe kwa ‘Acha Mioyo Iamke’, tukio la kwanza kabisa la huduma ya umma la God’s Heart TV nchini Uingereza. Kwa neema ya Mungu, Ndugu Chris atahudumu Birmingham, Uingereza, Jumamosi tarehe 15 Machi, 2025!
“Jina ambalo Mungu aliweka moyoni mwangu kwa ajili ya tukio huduma hii ni hili - ‘Mioyo na Iamke!’ Kama Wakristo, hatupaswi kujishusha hadi kiwango cha ulimwengu huu tunamoishi. Lazima uinuke juu ya kelele. Inuka juu ya chuki. Inuka juu ya kukata tamaa. Inuka juu ya uvumi. Inuka juu ya ulimwengu wa mihemkoa, ulimwengu waa hisia. Inuka juu! Acha mioyo iinuke (Wakolosai 3:1-2).
"Ikiwa Mungu ameweka moyoni mwako kuhudhuria ibada hii katika Ukumbi wa New Bingley huko Birmingham, Jumamosi, Machi 15, 2025, unaweza kwenda kwenye tovuti yetu kwa taarifa zaidi ( https://www.godsheart.tv/uk ) Ninataka kusisitiza jambo muhimu sana. Tukio hili - kuhudhuria ni bila malipo. Kumbuka maneno ya Yesu Kristo katika Mathayo 10:8, ‘Mmepokea bure; toeni burei.’ Baraka za kiroho haziwezi kubadilishwa kwa vitu vya kimwili.”
Unaweza kutazama ujumbe kamili kutoka kwa tangazo hili - https://www.youtube.com/watch?v=XDGdXtxIvPI
- Video Language:
- English
- Team:
God's Heart TV
- Duration:
- 02:28
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for FIRST EVER GOD’S HEART TV EVENT IN UK! | |
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for FIRST EVER GOD’S HEART TV EVENT IN UK! | |
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for FIRST EVER GOD’S HEART TV EVENT IN UK! |