hide💡Localization is the process of tailoring your content to local audiences.
Click to learn more about Localization with Amara.org.

< Return to Video

KANUNI TATU ZA KIROHO za KUPANGA MIPANGO YA MBELE!

  • 0:00 - 0:12
    Usiingie kwenye makosa ya kupanga mipango ya kesho kana kwamba wewe ndiye mmiliki wake.
  • 0:12 - 0:25
    Usiingie kwenye mtego wa kupanga mipango ya siku zijazo kana kwamba ni zako.
  • 0:25 - 0:28
    Sisemi ni makosa kupanga mipango.
  • 0:28 - 0:31
    Sisemi ni makosa kuangalia mbele.
  • 0:31 - 0:38
    Ninasema unapofanya mipango kama Mkristo,
  • 0:38 - 0:43
    lazima ufanye hivyo kwa utambuzi wa mambo matatu:
  • 0:43 - 0:51
    1. Maisha hayana uhakika
  • 0:51 - 1:01
    2. Mungu ni mwenye enzi kuu
  • 1:01 - 1:10
    3. Kila siku ina riziki yake
Title:
KANUNI TATU ZA KIROHO za KUPANGA MIPANGO YA MBELE!
Description:

“Usiingie katika makosa ya kupanga mipango ya kesho kana kwamba wewe ndiye mmiliki wake, usiingie kwenye mtego wa kupanga mipango ya siku zijazo kana kwamba ni zako mwenyewe, unapopanga mipango ukiwa Mkristo ni lazima ufanye hivyo kwa kutambua mambo matatu;
1. Maisha hayana uhakika.
2. Mungu ni mwenye enzi kuu.
3. Kila siku ina riziki yake.

Unaweza kutazama ujumbe kamili kutoka kwa Ndugu Chris hapa - https://www.youtube.com/watch?v=jlsNWVnOE80

more » « less
Video Language:
English
Team:
God's Heart TV
Duration:
01:10
georgejbudeba edited Swahili subtitles for THREE SPIRITUAL PRINCIPLES for PLANNING AHEAD! Apr 30, 2025, 7:23 PM
georgejbudeba edited Swahili subtitles for THREE SPIRITUAL PRINCIPLES for PLANNING AHEAD! Apr 27, 2025, 3:20 PM
georgejbudeba edited Swahili subtitles for THREE SPIRITUAL PRINCIPLES for PLANNING AHEAD! Apr 27, 2025, 3:20 PM

Swahili subtitles

Revisions Compare revisions

  • Revision 3 Edited
    georgejbudeba Apr 30, 2025, 7:23 PM
  • Revision 2 Edited
    georgejbudeba Apr 27, 2025, 3:20 PM
  • Revision 1 Uploaded
    georgejbudeba Apr 27, 2025, 3:20 PM