< Return to Video

HAYO MAUMIVU YATAPITA

  • 0:00 - 0:09
    Mchakato wa mungu si lazima ufanyike
    bila uchungu
  • 0:09 - 0:12
    lakini uchungu utapita
  • 0:12 - 0:18
    nakuhakikishia - uchungu utapita
  • 0:18 - 0:28
    nakuombea sasa hivi upokee nguvu ya
    kuvumilia nausikubali kujipeana kwa uoga
  • 0:28 - 0:33
    usikubali uchungu ukupotoze uwe muoga
  • 0:33 - 0:44
    pokea iyo nguvu yakuvumilia katika jina la
    Yesu, ukijua kwamba uchungu utapita.
Title:
HAYO MAUMIVU YATAPITA
Description:

more » « less
Video Language:
English
Team:
God's Heart TV
Duration:
0:45

Swahili subtitles

Revisions Compare revisions