< Return to Video

HAYO MAUMIVU YATAPITA

  • 0:00 - 0:09
    Mchakato wa Mungu si lazima ukwepe maumivu,
  • 0:09 - 0:12
    lakini maumivu yatapita.
  • 0:12 - 0:18
    Ninakuhakikishia - maumivu yatapita.
  • 0:18 - 0:28
    Nakuombea sasa hivi upokee nguvu hizo za kuvumilia na usijisalimishe kwenye hofu.
  • 0:28 - 0:33
    Usiruhusu sauti ya uchungu ikupotoshe kwenye hofu.
  • 0:33 - 0:44
    Pokea hiyo nguvu ya kustahimili kwa jina la Yesu, ukijua maumivu yatapita.
Title:
HAYO MAUMIVU YATAPITA
Description:

"Mchakato wa Mungu sio lazima ukwepe maumivu, lakini maumivu yatapita. Ninakuhakikishia - maumivu yatapita. Ninaomba sasa hivi upokee nguvu hizo za kuvumilia na usiingie katika hofu. Usiruhusu sauti ya maumivu ikupotoshe kwenye hofu. Pokea nguvu hizo za kustahimili kwa jina la Yesu, ukijua maumivu yatapita."

Unaweza kutazama maombi kamili pamoja na Ndugu Chris hapa - https://www.youtube.com/watch?v=eKw_Yb1ECj8

more » « less
Video Language:
English
Team:
God's Heart TV
Duration:
0:45

Swahili subtitles

Revisions Compare revisions