< Return to Video

QAnon Conspiracy Theories: Investigating a Viral Meme

  • 0:00 - 0:02
    Logo hii inakufanania nini?
  • 0:02 - 0:05
    Pengine haiwezi ashiria mengi kwa mtazamo wa kwanza
  • 0:05 - 0:08
    lakini ilizua vurugu mtandaoni.
  • 0:10 - 0:15
    Logo hii ilipatikana pembeni mwa lorry ya kupimia UVIKO-19.
  • 0:15 - 0:18
    Picha na pia logo ni halisi.
  • 0:18 - 0:22
    mchango uliotamba Facebook unadai kuwa logo hii inaashiria Anubis,
  • 0:22 - 0:25
    mojawapo ya miungu ya Misri wa kifo na maisha ya baada ya kifo.
  • 0:26 - 0:30
    Uvumi ulisambaa katika makundi yanayohusishwa na QAnon,
  • 0:30 - 0:34
    ambayo ilikuwa kikundi asi cha dhana ya majungu na sasa imejipenyeza katika dhana kuu.
  • 0:34 - 0:40
    Wanachama wa QAnon walisema kuwa logo hiyo ilifunua njama ya vingungwe wa dola dhidi ya Wamarekani.
  • 0:40 - 0:46
    Walielezea hofu kuwa lori hizi za kupimia chanjo zina nia mbaya.
  • 0:46 - 0:49
    Ilidhihirika kuwa logo hiyo ni ya Advaki.
  • 0:49 - 0:50
    Advaki?
  • 0:50 - 0:52
    Ndio. Advaki, ambaye niligundua kuwa,
  • 0:52 - 0:57
    ni mnyama anayependa kutokea usiku na anyependa kula mende.
  • 0:57 - 1:00
    Sarah Spencer, mwanahabari wa mtandao wa factchecker.org ,
  • 1:00 - 1:03
    alitafiti kwa undani kung'amua chanzo cha logo hiyo
  • 1:03 - 1:07
    na jinsiilivyohushishwa na miungu ya mauti ya Misri.
  • 1:07 - 1:12
    Mwanzoni, kikaragosi hiki kiliwasilishwa kwetu mtandaoni Facebook.
  • 1:12 - 1:15
    Kwa nini kituo cha kupimia UVIKO-19 una logo ya Anubis, mungu wa mauti?
  • 1:15 - 1:21
    Hatua ya kwanza itakuwa ya kutafiti picha kinyume.
  • 1:21 - 1:23
    inaweza kupa chanzo
  • 1:23 - 1:25
    na ikupe hisia ya jiinsi kitu hiki kimeenea.
  • 1:25 - 1:30
    Unaweza ona dhahiri ambapo anayeweka hiki kikaragosi anaashiria,
  • 1:30 - 1:33
    kuainisha kwa rangi nyekundu, kuonyesha kile wancho dhani ni cha kusisimua kulihusu.
  • 1:33 - 1:36
    Hiyo itapotosha utafiti wa picha
  • 1:36 - 1:39
    lakini pia unaweza bonyeza na kuyeyusha,
  • 1:39 - 1:43
    na kuiweka katika programu yoyote ya uhariri wa picha
  • 1:43 - 1:47
    katika picha kama hii, Ningeikata hivyo,
  • 1:47 - 1:49
    ndiyo upate sehemu hiyo halsi ya picha.
  • 1:49 - 1:51
    halafu unaweza ziba hiyo picha
  • 1:51 - 1:55
    ndani ya utafiti wako wa kiwangogezi cha picha.
  • 1:55 - 1:59
    hapa TinEye, unaweza kuchagua aina yako ulioikata.
  • 1:59 - 2:01
    Kwa TinEye, tofauti na Google,
  • 2:01 - 2:04
    Unaweza ainisha kuanzia mpya hadi zee.
  • 2:04 - 2:09
    kwa muktadha huu, ilitumika katika jarida la biashara la Philadelphia-
  • 2:09 - 2:13
    habari kuhusu biashara ya eneo hili iliyoanza kuunda upya lori zao
  • 2:13 - 2:16
    ili kutumiwa kama vitengo vya kupimia vya kusongasonga wakati wa UVIKO-19
  • 2:16 - 2:21
    Wakatambua jina la kampuni kama Aardvark Mobile.
  • 2:21 - 2:25
    Kwa hivyo kutafiti kidogo mtandaoni,
  • 2:25 - 2:30
    matokeo dhahiri ni tovuti ya kampuni ya ziara ya Aardvark Mobile
  • 2:30 - 2:34
    iliyo na logo sawa na unayoiona kwenye lori.
  • 2:34 - 2:37
    Wapo na kitengo cha huduma ya afya ya kusonga.
  • 2:37 - 2:38
    Hiyo inafanana sana.
  • 2:38 - 2:40
    Ni mipangilio pacha
  • 2:40 - 2:43
    Kitu ambacho TinEye ipo hodari ni kutafuta
  • 2:43 - 2:46
    pale ambapo picha zilichipuka kwanza mtandaoni.
  • 2:46 - 2:50
    rudio la kwanza ilionekana kwa 8KUN,
  • 2:50 - 2:55
    ambayo ni bodi za ujumbe za dhana za majungu
  • 2:55 - 2:58
    Ni mahali ambapo dhana za majungu huendelezwa na kudhihirika
  • 2:58 - 3:01
    kabla hazijachipuka katika mitandao ya Facebook na Twitter.
  • 3:01 - 3:03
    Kwa hivyo dokezo lako kwa msomi wa kawaida-
  • 3:03 - 3:08
    wakiona picha ambazo zina madai sawa na hizi,
  • 3:08 - 3:11
    Ni nini wanafaa kudhania?
  • 3:11 - 3:13
    Ni nini wanafaa kufikiria?
  • 3:13 - 3:16
    Unapopitia katika mitandao ya kijamii, uone jambo
  • 3:16 - 3:19
    linaloku
  • 3:19 - 3:24
  • 3:24 - 3:27
  • 3:27 - 3:32
  • 3:32 - 3:35
  • 3:35 - 3:38
  • 3:38 - 3:40
  • 3:40 - 3:43
  • 3:43 - 3:45
  • 3:45 - 3:47
  • 3:47 - 3:49
  • 3:49 - 3:53
  • 3:53 - 3:55
  • 3:55 - 3:58
  • 3:58 - 4:00
  • 4:00 - 4:04
  • 4:04 - 4:07
  • 4:07 - 4:09
  • 4:09 - 4:12
  • 4:12 - 4:16
  • 4:16 - 4:18
  • 4:18 - 4:19
  • 4:19 - 4:20
  • 4:20 - 4:22
  • 4:22 - 4:25
  • 4:28 - 4:29
  • 4:29 - 4:32
  • 4:32 - 4:36
Title:
QAnon Conspiracy Theories: Investigating a Viral Meme
Description:

more » « less
Video Language:
English
Team:
Amplifying Voices
Project:
Misinformation and Disinformation
Duration:
04:37

Swahili subtitles

Revisions Compare revisions