< Return to Video

Mungu anaweza kutengeneza njia mahali pasipo na njia lakini...

  • 0:00 - 0:06
    Mungu anaweza kutengeneza njia mahali pasipo na njia.
  • 0:06 - 0:20
    Lakini fahamuni kwamba hatakutengenezeeni njia itakayokuondoa kwake.
  • 0:20 - 0:23
    Fikirini juu ya hilo enyi watu wa Mungu.
  • 0:23 - 0:34
    Tunamtumikia Mungu wa ajabu ambaye anaweza kutengeneza njia mahali pasipo na njia.
  • 0:34 - 0:37
    Hakuna lisilowezekana Kwake.
  • 0:37 - 0:49
    Lakini hatakufanya njia itakayo kuondosha kwake.
  • 0:49 - 1:00
    Mungu hatakutengenezea njia itakayokutoa nje ya njia zake.
Title:
Mungu anaweza kutengeneza njia mahali pasipo na njia lakini...
Description:

“Mungu anaweza kutengeneza njia mahali pasipo na njia. Lakini fahamu kwamba hatakutengenezea njia itakayokuondoa kwake. Fikirini juu ya hilo enyi watu wa Mungu. Tunamtumikia Mungu wa ajabu ambaye anaweza kutengeneza njia mahali pasipo na njia. Hakuna lisilowezekana Kwake. Lakini hatakufanyia njia itakayo kuondosha kwake. Mungu hatakutengenezea njia itakayokutoa nje ya njia zake.”

Unaweza kutazama ujumbe kamili kutoka kwa Ndugu Chris hapa - https://www.youtube.com/watch?v=yvRzWsIir6U

more » « less
Video Language:
English
Team:
God's Heart TV
Duration:
01:00

Swahili subtitles

Incomplete

Revisions Compare revisions