< Return to Video

Mungu anaweza kutengeneza njia mahali pasipo na njia lakini...

  • 0:00 - 0:06
    Mungu anaweza kutengeneza njia mahali pasipo na njia.
  • 0:06 - 0:20
    Lakini fahamuni kwamba hatakutengenezeeni njia itakayokuondoa kwake.
  • 0:20 - 0:23
    Fikirini juu ya hilo enyi watu wa Mungu.
  • 0:23 - 0:34
    Tunamtumikia Mungu wa ajabu ambaye anaweza kutengeneza njia mahali pasipo na njia.
  • 0:34 - 0:37
    Hakuna lisilowezekana Kwake.
  • 0:37 - 0:49
    Lakini hatakufanyieni njia itakayo kuondosha kwake.
  • 0:49 - 1:00
    Mungu hatakutengenezea njia itakayokutoa nje ya njia zake.
Title:
Mungu anaweza kutengeneza njia mahali pasipo na njia lakini...
Description:

more » « less
Video Language:
English
Team:
God's Heart TV
Duration:
01:00

Swahili subtitles

Revisions Compare revisions