< Return to Video

MAOMBI kwa ajili ya ULINZI wa MUNGU juu ya SAFARI yako!

  • 0:00 - 0:11
    Safari yo yote iliyo mbele yenu, iwe hewani, baharini, au nchi kavu;
  • 0:11 - 0:18
    safari yoyote ile, ulindwe kwa Damu ya Yesu Kristo!
  • 0:18 - 0:23
    Ufunikwe kwa Damu ya Yesu Kristo.
  • 0:23 - 0:28
    Ulindwe kwa Damu ya Yesu Kristo.
  • 0:28 - 0:32
    Funika safari yako sasa hivi.
  • 0:32 - 0:34
    Funika safari yako!
  • 0:34 - 0:42
    Na ikiwa safari hiyo haijaidhinishwa na Roho Mtakatifu,
  • 0:42 - 0:49
    usishangae baada ya maombi haya ikiwa hali zilizo nje ya uwezo wako
  • 0:49 - 0:51
    kukuzuia usiendelee na safari hiyo.
  • 0:51 - 0:58
    Mwombe Roho Mtakatifu sasa hivi akusaidie kutambua uhifadhi wake
  • 0:58 - 1:02
    hata inapomaanisha kukatizwa kwa mpango wako mwenyewe.
  • 1:02 - 1:08
    Mwombe Roho Mtakatifu sasa hivi akusaidie kutambua uhifadhi wake.
  • 1:08 - 1:13
    Wakati mwingine kile unachokiona kama usumbufu katika mpango wako
  • 1:13 - 1:16
    kwa kweli ni uingiliaji kati wa Mungu.
Title:
MAOMBI kwa ajili ya ULINZI wa MUNGU juu ya SAFARI yako!
Description:

more » « less
Video Language:
English
Team:
God's Heart TV
Duration:
01:16

Swahili subtitles

Revisions Compare revisions