< Return to Video

MAOMBI kwa ajili ya ULINZI wa MUNGU juu ya SAFARI yako!

  • 0:00 - 0:11
    Safari yoyote iliyo mbele yenu, iwe angani, baharini, au nchi kavu;
  • 0:11 - 0:18
    safari yoyote ile, ulindwe kwa Damu ya Yesu Kristo!
  • 0:18 - 0:23
    Ufunikwe kwa Damu ya Yesu Kristo.
  • 0:23 - 0:28
    Ulindwe kwa Damu ya Yesu Kristo.
  • 0:28 - 0:32
    Funika safari yako sasa hivi.
  • 0:32 - 0:34
    Funika safari yako!
  • 0:34 - 0:42
    Na ikiwa safari hiyo haijaidhinishwa na Roho Mtakatifu,
  • 0:42 - 0:49
    usishangae baada ya maombi haya ikiwa hali zilizo nje ya uwezo wako
  • 0:49 - 0:51
    kukuzuia usiendelee na safari hiyo.
  • 0:51 - 0:58
    Mwombe Roho Mtakatifu sasa hivi akusaidie kutambua uhifadhi wake
  • 0:58 - 1:02
    hata inapomaanisha kukatizwa kwa mpango wako mwenyewe.
  • 1:02 - 1:08
    Mwombe Roho Mtakatifu sasa hivi akusaidie kutambua uhifadhi wake.
  • 1:08 - 1:13
    Wakati mwingine kile unachokiona kama usumbufu katika mpango wako
  • 1:13 - 1:16
    kwa kweli ni uingiliaji kati wa Mungu.
Title:
MAOMBI kwa ajili ya ULINZI wa MUNGU juu ya SAFARI yako!
Description:

“Safari yoyote iliyo mbele yako, iwe angani, baharini au nchi kavu – ulindwe kwa Damu ya Yesu Kristo! Ufunikwe kwa Damu ya Yesu Kristo. Ulindwe kwa Damu ya Yesu Kristo. Na ikiwa safari hiyo haijaidhinishwa na Roho Mtakatifu, usishangae ikiwa hali zilizo nje ya uwezo wako zinakuzuia kuendelea nayo. Mwombe Roho Mtakatifu sasa hivi akusaidie kutambua uhifadhi Wake hata inapomaanisha kukatizwa kwa mpango wako mwenyewe. Wakati mwingine kile unachokiona kama usumbufu katika mpango wako ni uingiliaji kati wa Mungu."

Unaweza kutazama muda wote wa maombi pamoja na Ndugu Chris hapa - https://www.youtube.com/watch?v=3npbdLrBvrY

more » « less
Video Language:
English
Team:
God's Heart TV
Duration:
01:16

Swahili subtitles

Revisions Compare revisions