MAOMBI kwa ajili ya ULINZI wa MUNGU juu ya SAFARI yako!
-
0:00 - 0:11Safari yoyote iliyo mbele yenu, iwe angani, baharini, au nchi kavu;
-
0:11 - 0:18safari yoyote ile, ulindwe kwa Damu ya Yesu Kristo!
-
0:18 - 0:23Ufunikwe kwa Damu ya Yesu Kristo.
-
0:23 - 0:28Ulindwe kwa Damu ya Yesu Kristo.
-
0:28 - 0:32Funika safari yako sasa hivi.
-
0:32 - 0:34Funika safari yako!
-
0:34 - 0:42Na ikiwa safari hiyo haijaidhinishwa na Roho Mtakatifu,
-
0:42 - 0:49usishangae baada ya maombi haya ikiwa hali zilizo nje ya uwezo wako
-
0:49 - 0:51kukuzuia usiendelee na safari hiyo.
-
0:51 - 0:58Mwombe Roho Mtakatifu sasa hivi akusaidie kutambua uhifadhi wake
-
0:58 - 1:02hata inapomaanisha kukatizwa kwa mpango wako mwenyewe.
-
1:02 - 1:08Mwombe Roho Mtakatifu sasa hivi akusaidie kutambua uhifadhi wake.
-
1:08 - 1:13Wakati mwingine kile unachokiona kama usumbufu katika mpango wako
-
1:13 - 1:16kwa kweli ni uingiliaji kati wa Mungu.
- Title:
- MAOMBI kwa ajili ya ULINZI wa MUNGU juu ya SAFARI yako!
- Description:
-
- Video Language:
- English
- Team:
God's Heart TV
- Duration:
- 01:16
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for PRAYER for GOD’S PROTECTION over your JOURNEY! | |
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for PRAYER for GOD’S PROTECTION over your JOURNEY! | |
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for PRAYER for GOD’S PROTECTION over your JOURNEY! | |
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for PRAYER for GOD’S PROTECTION over your JOURNEY! |