< Return to Video

Kila tamko hasi juu ya maisha yako - LIBATILISHWE!

  • 0:00 - 0:06
    Sijui ni maneno gani mabaya yamesemwa juu ya maisha yako.
  • 0:06 - 0:12
    Lakini najua kwamba maisha yako hayataishia kwenye kiwango cha maneno hayo.
  • 0:12 - 0:19
    Hivi sasa, kila tamko hasi juu ya maisha yako,
  • 0:19 - 0:25
    familia yako, ndoa yako - libatilishwe!
  • 0:25 - 0:29
    Libatilishwe kwa jina kuu la Yesu!
Title:
Kila tamko hasi juu ya maisha yako - LIBATILISHWE!
Description:

"Sijui ni maneno gani mabaya ambayo yamesemwa juu ya maisha yako. Lakini najua kwamba maisha yako hayataishia kwenye kiwango cha maneno hayo. Hivi sasa, kila tamko hasi juu ya maisha yako, familia yako, ndoa yako - libatilishwe! Libatilishwe kwa jina kuu la Yesu!”

Ili kupokea maombi bila malipo kutoka kwa Ndugu Chris kupitia Zoom, wasilisha ombi lako la maombi hapa - https://www.godsheart.tv/zoom - na Timu ya God's Heart TV itawasiliana nawe hivi karibuni kupitia barua pepe katika info@godsheart.tv

more » « less
Video Language:
English
Team:
God's Heart TV
Duration:
0:29

Swahili subtitles

Revisions Compare revisions