Kila tamko hasi juu ya maisha yako - LIBATILISHWE!
-
0:00 - 0:06Sijui ni maneno gani mabaya yamesemwa juu ya maisha yako.
-
0:06 - 0:12Lakini najua kwamba maisha yako hayataishia kwenye kiwango cha maneno hayo.
-
0:12 - 0:19Hivi sasa, kila tamko hasi juu ya maisha yako,
-
0:19 - 0:25familia yako, ndoa yako - libatilishwe!
-
0:25 - 0:29Libatilishwe kwa jina kuu la Yesu!
- Title:
- Kila tamko hasi juu ya maisha yako - LIBATILISHWE!
- Description:
-
- Video Language:
- English
- Team:
God's Heart TV
- Duration:
- 0:29
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for Every negative declaration over your life – BE CANCELLED! | |
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for Every negative declaration over your life – BE CANCELLED! |