YESU ndiye kipengele kimoja katika mlingano unaobadilisha KILA KITU!
-
0:00 - 0:03Tunamhitaji Yesu.
-
0:03 - 0:12Yeye ndiye sababu moja katika mlinganyo ambao unabadilisha kila kitu.
-
0:12 - 0:19Kwa kweli, tunahitaji nguvu zake ili kushinda.
-
0:19 - 0:24Tunahitaji neema yake ili kudhibiti chochote kile kinacholetwa na maisha.
-
0:24 - 0:29Na unapomzingatia Yeye,
-
0:29 - 0:35inabadilisha mtazamo wako kwa kila kitu kingine maishani.
-
0:35 - 0:39Namaanisha, nichukue mfano wa sherehe za msimu huu wa sikukuu.
-
0:39 - 0:45Kuzingatia Yesu kutabadilisha mtazamo wako wa jinsi ya kusherehekea msimu.
-
0:45 - 0:52Ndio, kwa kweli, Krismasi ni wakati mzuri wa sherehe, furaha, kubadilishana zawadi,
-
0:52 - 0:57wakati wa kuwa na marafiki na familia. Ajabu!
-
0:57 - 1:06Lakini nataka uangalie zaidi ya maana ya kidesturi ya sherehe.
-
1:06 - 1:13Kwa sababu katika Yohana 13:34, Yesu aliwaambia wanafunzi wake,
-
1:13 - 1:20"Amri mpya nawapa - pendaneni."
-
1:20 - 1:28Hakuna njia kuu zaidi ya kumheshimu Yesu Krismasi hii
-
1:28 - 1:36kuliko kushiriki na kuonyesha upendo wake kwa wengine.
-
1:36 - 1:45Ikiwa ni neno la fadhili kwa jirani huyo aliyekata tamaa au
-
1:45 - 1:50tabasamu la kutia moyo kwa mgeni huyo mwenye upweke.
-
1:50 - 1:56Iwe ni kupiga simu kwa mtu ambaye umetengana naye kwa miaka mingi
-
1:56 - 2:03au kumtembelea mtu ambaye kikawaida hutawahi kwenda kumuona.
-
2:03 - 2:09Ikiwa ni kutoa tu zawadi kwa mtu
-
2:09 - 2:15ambaye hana ushirika wa marafiki na familia
-
2:15 - 2:20kutokana na mazingira yaliyo nje ya uwezo wao.
-
2:20 - 2:27Shiriki na uonyeshe upendo wa Yesu Krismasi hii.
-
2:27 - 2:37Na ninataka kukuhimiza uangalie zaidi ya mduara wa marafiki na familia yako tu.
-
2:37 - 2:46Sherehekea Yesu Krismasi hii kwa kuufikisha upendo wake
-
2:46 - 2:47kwa aliye mdogo katika hawa (Mathayo 25:40).
- Title:
- YESU ndiye kipengele kimoja katika mlingano unaobadilisha KILA KITU!
- Description:
-
“Tunamhitaji Yesu. Yeye ndiye sababu moja katika mlinganyi ambayo inabadilisha kila kitu. Kwa kweli, tunahitaji nguvu zake ili kushinda. Tunahitaji neema yake ili kudhibiti chochote kile kinacholetwa na maisha. Na unapomzingatia Yeye, inabadilisha mtazamo wako juu ya kila kitu kingine maishani. Namaanisha, nichukue mfano wa sherehe za msimu huu wa sikukuu. Kumzingatia Yesu kutabadilisha mtazamo wako wa jinsi ya kusherehekea msimu. Ndiyo, bila shaka, Krismasi ni wakati mzuri wa sikukuu, furaha, kubadilishana zawadi, wakati wa kuwa na marafiki na familia. Ajabu! Lakini nataka uangalie zaidi ya maana ya kidesturi ya sherehe. Kwa sababu katika Yohana 13:34 , Yesu aliwaambia wanafunzi wake, ‘Amri mpya ninawapa ninyi – mpendane.’ Hakuna njia kuu ya kumheshimu Yesu Krismasi hii kuliko kushiriki na kuonyesha upendo Wake kwa wengine. Iwe ni neno la fadhili kwa jirani huyo aliyevunjika moyo au tabasamu la kutia moyo kwa mgeni huyo mwenye upweke. Iwe ni kupiga simu kwa mtu ambaye umetengana naye kwa miaka mingi au kumtembelea mtu ambaye kwa kawaida hungewahi kwenda kumuona. Iwe ni kutoa tu zawadi kwa mtu ambaye hana ushirika wa marafiki na familia kutokana na hali zilizo nje ya uwezo wao. Shiriki na uonyeshe upendo wa Yesu Krismasi hii. Na ninataka kukuhimiza uangalie zaidi ya mduara wa marafiki na familia yako tu. Sherehekea Yesu Krismasi hii kwa kufikisha upendo Wake kwa walio wadogo zaidi kati ya hawa (Mathayo 25:40). - Ndugu Chris
- Video Language:
- English
- Team:
God's Heart TV
- Duration:
- 02:48
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for JESUS is the ONE factor in the equation that changes EVERYTHING! | |
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for JESUS is the ONE factor in the equation that changes EVERYTHING! | |
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for JESUS is the ONE factor in the equation that changes EVERYTHING! | |
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for JESUS is the ONE factor in the equation that changes EVERYTHING! |