Pokea UJASIRI wa KWENDA katika mwelekeo wa WITO wa MUNGU kwa maisha yako!
-
0:00 - 0:03Kuna wengi wetu - tunajua
-
0:03 - 0:08sauti ya Mungu imechochea mioyo yetu kuchukua hatua.
-
0:08 - 0:12Lakini kwa sababu ya hofu, kwa sababu ya shaka, kwa sababu ya kutojithamini,
-
0:12 - 0:18tunasalia katika wavu unaoonekana kuwa na usalama tuliouzoea .
-
0:18 - 0:23Sasa hivi, pokea ujasiri huo!
-
0:23 - 0:31Pokea ujasiri huo wa kwenda katika mwelekeo wa kile ambacho Mungu ameweka moyoni mwako,
-
0:31 - 0:36kupiga hatua katika mwelekeo wa wito wa Mungu kwa maisha yako!
-
0:36 - 0:41Unapokwenda katika mwelekeo wa wito wa Mungu, utajishangaa mwenyewe,
-
0:41 - 0:45utajishangaa, utaleta mabadiliko katika ulimwengu wako!
-
0:45 - 0:51Pokea ujasiri huo, pokea nguvu hizo, pokea ujasiri huo!
- Title:
- Pokea UJASIRI wa KWENDA katika mwelekeo wa WITO wa MUNGU kwa maisha yako!
- Description:
-
- Video Language:
- English
- Team:
God's Heart TV
- Duration:
- 0:51
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for Receive the COURAGE to STEP OUT in the direction of GOD’S CALLING for your life! | |

georgejbudeba edited Swahili subtitles for Receive the COURAGE to STEP OUT in the direction of GOD’S CALLING for your life! |